Liverpool ombeni WWW 3 isitokee

hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,538
18,720
Liverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..!

Gundu yenyewe ni WWW3 Vita ya Tatu ya Dunia,

baada ya Trump kumuua Jenerali wa Iran, Iran imetangaza lazima ilipize kisasi, muda si mrefu kabla ligi haijaisha Iran itaipiza kisasi, na vita itatokea, sababu Iran ni nchi kubwa sana, itabidi Uingereza, Ujerumani, ufaransa nazo ziingie kuisaidia America, China, Urusi, Lebanon, Pakistan, North Korea nazo zitakuwa upande wa Iran,

Kitanuka ajabu sana na ligi zote duniani zitafutwa sababu ya usalama, na Liverpool ndio hivyo tena..
Imekosa ubingwa kwa sababu nyingine za ajabu kaisa ambazo hakuna aliyetegemea,,

Poleni mashabki wa Liverpool , OMBENI VITA ISITOKEE JAPO IRAN WAMEANZA KUKIAMSHA HUKO
 
WWW3 unazungumzia Mieleka? Don't try it at home my sister

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale unaposhiba makande na kukosa kazi za kufanya ,mawazo kama haya huja akilini.
 
From kutupia lawama VAR mpaka kuomba WWIII?

Aliyekupeleka Shule ameshakula hasara.
 
Liverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..!

Gundu yenyewe ni WWW3 Vita ya Tatu ya Dunia,

baada ya Trump kumuua Jenerali wa Iran, Iran imetangaza lazima ilipize kisasi, muda si mrefu kabla ligi haijaisha Iran itaipiza kisasi, na vita itatokea, sababu Iran ni nchi kubwa sana, itabidi Uingereza, Ujerumani, ufaransa nazo ziingie kuisaidia America, China, Urusi, Lebanon, Pakistan, North Korea nazo zitakuwa upande wa Iran,

Kitanuka ajabu sana na ligi zote duniani zitafutwa sababu ya usalama, na Liverpool ndio hivyo tena..
Imekosa ubingwa kwa sababu nyingine za ajabu kaisa ambazo hakuna aliyetegemea,,

Poleni mashabki wa Liverpool , OMBENI VITA ISITOKEE JAPO IRAN WAMEANZA KUKIAMSHA HUKO
Ukifikiria kwa makalio badala ya kichwa mtu anakuwa na mawazo kama haya
 
Hamna kitu kibaya kuwa nacho mwanadamu Kama kijicho,husda,roho mbaya,unateseka Sana,unasononeka,unakula maumivu ya moyo na ajili,kisa Liverpool wasichukue UbInGwA wa Epl, karibu kwenye mji wa furaha na tulizo la moyo,ynwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool baada ya kulikosa kombe kwa sababu za miujiza msimu wa 2013/2014, kisha kulikosa tena mwaka jana hata baada ya kuongoza ligi muda mrefu. Mwaka huu gundu jingine tena limetokea..!

Gundu yenyewe ni WWW3 Vita ya Tatu ya Dunia,

baada ya Trump kumuua Jenerali wa Iran, Iran imetangaza lazima ilipize kisasi, muda si mrefu kabla ligi haijaisha Iran itaipiza kisasi, na vita itatokea, sababu Iran ni nchi kubwa sana, itabidi Uingereza, Ujerumani, ufaransa nazo ziingie kuisaidia America, China, Urusi, Lebanon, Pakistan, North Korea nazo zitakuwa upande wa Iran,

Kitanuka ajabu sana na ligi zote duniani zitafutwa sababu ya usalama, na Liverpool ndio hivyo tena..
Imekosa ubingwa kwa sababu nyingine za ajabu kaisa ambazo hakuna aliyetegemea,,

Poleni mashabki wa Liverpool , OMBENI VITA ISITOKEE JAPO IRAN WAMEANZA KUKIAMSHA HUKO
liverpool on fire! mko wapi sasa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom