Liverpool kesho jiandae kwa kichapo hatunaga mzaha kwenye fainali

kaka forwad wenu ndo yule tammy abraham? atapita kwa waziri wa ulinzi kweli?? haha
usikimbie kaka subiri utaona
 
Bado mda kidogo tu wanaume tuumane nyie wazee wa ndondo man city, man u na arsenal kaen pemben mshudie mtanange wa wababe wa kivita

Kila team itavuna mpunga mrefu sana

LONDON BOY

LAST BONE WA MWENYEZI MUNGU
 
1565807169343.png
 
Anything can happen japo Liverppol will most likely win the game. Combination ya Zouma na Christesen ni ya mashaka japo Lampard kagundua hiz mechi sio za kuweka vile vitoto (Abraham na Mount)
 
Anything can happen japo Liverppol will most likely win the game. Combination ya Zouma na Christesen ni ya mashaka japo Lampard kagundua hiz mechi sio za kuweka vile vitoto (Abraham na Mount)
Mkuu dunia haitaamini leo kwa kile tunaenda kumfanya Liverpool
 
Liverpool leo unapigwa mapigo ya kigaidi hutaamin macho yako, siwapigi mkwara lakin leo ndo mtajua ni kwanini naitwa beira
 
Back
Top Bottom