Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,175
- 22,573
kaka forwad wenu ndo yule tammy abraham? atapita kwa waziri wa ulinzi kweli?? haha
usikimbie kaka subiri utaona
usikimbie kaka subiri utaona
Mkuu dunia haitaamini leo kwa kile tunaenda kumfanya LiverpoolAnything can happen japo Liverppol will most likely win the game. Combination ya Zouma na Christesen ni ya mashaka japo Lampard kagundua hiz mechi sio za kuweka vile vitoto (Abraham na Mount)
Baada ya game usikimbie uzii mkuu hahaaaaaLiverpool leo unapigwa mapigo ya kigaidi hutaamin macho yako, siwapigi mkwara lakin leo ndo mtajua ni kwanini naitwa beira