Liverpool kesho jiandae kwa kichapo hatunaga mzaha kwenye fainali

Amani iwe nanyi wakuu

Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea

Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea

Arsenal alitoka kutupiga 2 kwa sikio lakin tulipokutana naye fainal za europer anajua kilichotokea

Kwahiyo jianzadae kulaluliwa

Liverpool utaisoma namba hapo kesho

Chelsea one love

Chelsea boy

LONDON BOY
NANYUPU
last bone wa mwenyezi Mungu

Mkifungwa usije futa uzi maana ndo zako
 
Hakuna kocha aliechukua tuzo ya kocha bora ktk msimu wake wa kwanza epl. Lazima asulubike kwanza atleast misimu miwili au mmoja. Hizo ndio tamaduni za epl.
Lampard ndo kocha bora msimu huu hutaamani macho yako ifikapo kesho
 
Kwangu Mimi hii game ngum sana si rahisi kusema nan atashinda. Manchester united tulipata matokeo mazuri dhidi ya Chelsea si kwa sabab walicheza vbaya hpn yalikua makosa madogomadogo sana yaliyosababisha mattzo ikiwemo kutokuwaheshim wapinzani na uwanja wa ugenini. Mimi utabiri wangu nampa Chelsea kutwaa super cup
 
Back
Top Bottom