Amani iwe nanyi wakuu
Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea
Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea
Arsenal alitoka kutupiga 2 kwa sikio lakin tulipokutana naye fainal za europer anajua kilichotokea
Kwahiyo jianzadae kulaluliwa
Liverpool utaisoma namba hapo kesho
Chelsea one love
Chelsea boy
LONDON BOY
NANYUPU
last bone wa mwenyezi Mungu
Mkifungwa usije futa uzi maana ndo zako