Liverpool kesho jiandae kwa kichapo hatunaga mzaha kwenye fainali

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe nanyi wakuu

Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea

Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea

Arsenal alitoka kutupiga 2 kwa sikio lakin tulipokutana naye fainal za europer anajua kilichotokea

Kwahiyo jianzadae kulaluliwa

Liverpool utaisoma namba hapo kesho

Chelsea one love

Chelsea boy

LONDON BOY
NANYUPU
last bone wa mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom