bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 901
Juzi ulikimbia uliponda sana man u na arsenal na tena liver.. umeona sasa Chelsea kafa kwa liver.. uwe unawekaka akiba ya manenoAmani iwe nanyi wakuu
Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea
Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea
Arsenal alitoka kutupiga 2 kwa sikio lakin tulipokutana naye fainal za europer anajua kilichotokea
Kwahiyo jianzadae kulaluliwa
Liverpool utaisoma namba hapo kesho
Chelsea one love
Chelsea boy
LONDON BOY
NANYUPU
last bone wa mwenyezi Mungu