Liverpool kesho jiandae kwa kichapo hatunaga mzaha kwenye fainali

Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
15,445
Points
2,000
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
15,445 2,000
Amani iwe nanyi wakuu

Katika team ambazo hatuna mzaha kwenye fainal bas ni Chelsea

Man city alitoka kutupiga 6 lakin tulipokutana naye kwenye fainal anakumbuka kilichotokea

Arsenal alitoka kutupiga 2 kwa sikio lakin tulipokutana naye fainal za europer anajua kilichotokea

Kwahiyo jianzadae kulaluliwa

Liverpool utaisoma namba hapo kesho

Chelsea one love

Chelsea boy

LONDON BOY
NANYUPU
last bone wa mwenyezi Mungu
 
shinji jr

shinji jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2016
Messages
237
Points
500
shinji jr

shinji jr

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2016
237 500
Chelsea hii isiyokua na key players inawezaje kushinda fainali?au tumrudishe hazard kwa mkopo?
 
Pain killer

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
2,239
Points
2,000
Pain killer

Pain killer

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
2,239 2,000
Hazard ndio alikuwa na uwezo wa kupenya kwenye ukuta wa liverpool

ila sas saiz, hayupo hakuna foward hata moja ya maana ya kuwatisha liverpool
 

Forum statistics

Threads 1,333,950
Members 511,787
Posts 32,459,142
Top