Liverpool inaweza kuendelea kupata matokeo bila Mane?

Hakuna pengo lisilozibika. Hiyo pia ni chance kwa wengine kung'aa. Klop atareshuffle hao hao akina Origi, Sturridge
 
Naomba niad kwenye gruo la liver
Sijakuelewa. Ni kuadd wapi? Whatsap au? Huu uzi wa liverpool ni kwa ajili ya kopites wote. Unaingia bila kuaddiwa. We nenda jukwaa la sport fungua uzi unaokwenda kwa Liverpool special thread, unajadili na kops wenzio.

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom