Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

Mpinzani wa
Jazba ya nini na nani dogo ?.

Nani asiyejua kua Liverpool ya sasa haikamatiki na mshindani wake amekubali matokeo.

Nimemjibu mleta mada kulingana na mtazamo wangu kulingana na ushindani uliopo na utakaukawapo kati ya Liver na Man U/City.

Nimemjibu mleta mada kulingana na misimu iliyopita ambayo Liverpool alikuwa anaelekea kuchukua ubingwa lakini gafla Man U/City wakutwaa huu ubingwa na kimuacha Liver katika nafasi 2 au 3.

Japo Liverpool mwaka huu mnabeba kombe lakini wapinzani wenu hasa Man U hawapo vzr lakini hii haimanishi msinge beba kombe ila gepu la point lingekuwa dogo.

MAN CITY FOREVER
Mpinzani wa LiverpooL ni Manchester City bana!, hyo man united imebaki historia tu.
 
EPL sio ligi bora ndio maana msimu uliopita LA LIGA iliingiza timu nne kwenye fainali za EUROPA na UEFA.
2018/2019 EpL ndo ligi bora kijana!. Facts zipo kila mtu anajua...Zimeingiza timu 5 kwnye UEFA.na Tumeshuhudia fainali za uefA na Ueropa Zikitawala timu za England.Makombe ya ULAYA yamenda England....... Hzo ndo FactS... so Tuliaaa
 
barcelona ilifundishwa na Pep katika kipindi hicho unachotaja. Barcelona ilikuwa moto sana na ikabeba makombe yote muhimu uliyotaja kasoro club champs.
Pep alipohamia epl akaifundisha Man City na ikawa moto sana , lakini wakati City anatesa epl meneja aliyemtoa nishai Pep ni Klopp{kwenye epl na UCL mara mbili)
Baada ya Klopp kuimarika
1: Kaingia fainali mara 2 mfululizo kwenye UCL( kafungwa na Madrid kiboko ya Barcelona)
2 katika hizo mbili kabeba kombe(ubora wa epl unajidhihirisha kwa kutoa finalist wawili(spurs na The reds
3. Klopp kabeba super cup
4.Klopp kabeba club champs
5; liverpool inaongoza epl na itabeba ubingwa kabla ligi haijafika tamati
6 Vilabu vya england vilivyoshiriki UCL msimu huu vimeingia 16 bora ya UCL ni ushahidi kuwa epl ni ligi bora
7 liverpool kwa msimu huu imepata majeruhi wengi kuliko team yoyote( becker, gomes, matip, lovren, shaqir, manne, hendo, keita,Chambo,salla,fabinho,) na mashabiki walisema liver ina kikosi kifinyu lakini imeonekana sio kweli(teenagers) wameifunga eveton
Nimalize kwa kuandika:
morali wa ushindi walionao liver unawapa asilimia kubwa sana ya kufanya vizuri, wakitaka seriously wanabeba ucl na fa cups.
.
Yaani unaiita Real madrid kiboko ya Barcelona n wametoka kupigwa 5 mwaka jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonesha umeanza kufuatilia soka la ulaya miaka ya hivi karibuni, waangalie Juve, PSG na Bayan kwa miaka mitatu mpaka mitano iliyopita utaona walikuwa wakiongoza ligi zao kwa tofauti ya point zaidi ya ishirini.
liver kuongoza kwa tofauti ya point ishirini haimaanishi EPL ni ligi rahisi, kama unaona ni ligi rahisi hao liver walikuwa wapi kwa miaka ishirini kufanya hiki wanacho kifanya leo?
watazame mabingwa wa EPL kwa miaka sita iliyopita walichukuwa ubingwa kwa tofauti ya point ngapi!
kwa uzoefu wangu ktk kufuatilia EPL ninacho kiona msimu huu kwa Liver na wanaomfuata ktk mbio za ubingwa, hakina tofauti na kile kilicho tokea kwa Licester city wakati akichukuwa ubingwa. wapinzani walikuwa wakidondosha point ktk mazingira ambayo hayatarajiwi na wengi. hii ilimfanya Licester kuchukuwa ndoo kirahisi kabisa
 
Epl ni ligi bora!Nani alijua liver angeongoza ligi kwa point zote hizo?tena mbele ya man city na gurdiola ?Nani anajua msimu ujao nani bingwa wa epl?japo mi naamini liver ni bingwa mwakani!!!Epl imetoa mabingwa karibia watano tofauti tofauti wa epl ndani ya miaka kumi yaani chelsea,leicester,man utd,man city na liverpool msim huu!!!Lakin ligi nyingine mabingwa wanatabirika sana!!kama serie a,bundesliga,laliga,lig one!!!LIVA NI BORA TANGU MSIMU JANA HADI MSIM KESHO!MSIM KESHOKUTWA NAMUONA SPURS,LEICESTER NA MAN CITY WAKIWA JUU NA ARSENAL PIA COZ ARTETA YUPO FIT SANA!!!

Only evidence kuwa EPL ni ligi bora

Timu zilizoshinda UEFA by country
Spain=2
England=6


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inshot timu za uingereza zenye uwezo wa kuchukua UEFA ni nyingi kuriko ligi yoyote ile, leo timu kama Man U anaweza shindana na PSG au Bayern ila sio Valencia na Bayern


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wachambuzi wa Kibongo ujuaji mwingi, Angalia ligi yenu sasa ipo ICU.
Hao liver hata wakikutana na akina Med Kahirizi wanakalishwa? Ila hata timu za mabara mengine zimekalishwa na Liver mwaka huu, au ligi zote mwaka huu ni mbovu?
 
2018/2019 EpL ndo ligi bora kijana!. Facts zipo kila mtu anajua...Zimeingiza timu 5 kwnye UEFA.na Tumeshuhudia fainali za uefA na Ueropa Zikitawala timu za England.Makombe ya ULAYA yamenda England....... Hzo ndo FactS... so Tuliaaa
Itoshe kusema una kichwa kigumu sana, umeshindwa kumwelewa uliyemquote
 
Mashabiki ya EPL ni wagumu kuelewa, lakini naona msimu huu wanaumbuka. Ligi gani bora timu ya juu inaongoza ligi kwa point 22? Huwa ninasema humu EPL ni ligi ya vibonde watu wanakataa. Nadhani msimu huu imedhihirika wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haya matokeo ya Liver hata turudi miaka 20 nyuma ktk ligi tano bingwa ulaya bado Liver angeongoza kwa points zisizopungua 10 hvyo EPL haiweza kuwa ligi mbovu kisa liver anaongoza kwa gap kubwa maana ktk mechi 25 kashinda 24 kadraw 1 hii haijawai kutokea mkuu kwa misimu ya HV karibu tukiangalia Ligue 1 PSG huwa anaongoza kwa point 20+ akiwa kafungwa na kudraw mechi kadhaa,Bundesliga Bayarn anaongoza akiwa na kapoteza na kudraw michezo kibao the same to Seria A ya Juve

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ukiongea wewe utaeleweka. EPL ni ligi mbovu yenye timu mbovu zinazofanana kiwango. Isipokuwa msimu huu Liverpool iko juu zaidi ya wenzake.
Ukiileta timu yoyote ya ulaya hapo EPL haiwezi kuzifikia hizo points za liver ukweli usemwe ushabiki pembeni@IamManUTD Fan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom