Liverpool huenda ikakosa kutwaa ubingwa EPL kutokana na mafua ya China

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,185
13,608
Mzuqa wanajamvi!

Kuna wasiwasi wa Liver kutokutwaa ubingwa wa EPL kutokana na homa ya mafua Coronavirus kuingia Uingereza na kuthibitika leo watu wanne wanayo huko Scotland baada ya kutoka nayo China.

Huu ungonjwa unasambaa kwa kasi ya ajabu na kwa muda wa miezi miwili tu itaambukiza mamilioni ya watu Uingereza na kuleta maafa. Shughuli zote zitasimama pamoja EPL na kusababisha Liver kukosa ubingwa.
 
😂😂😂daa nimecheka kinoma ilianza vita ya 3 ya Dunia WW3 sijui Imepotelea wap saiz ni homa ya mafua 😆😆😆
 
Bila shaka Mkuu wangu wewe ndo yule uliegeuzwa kamongo na Bi "Hamida" Maana sikwa dishi kuyumba hivi.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom