Liverpool huenda ikakosa kutwaa ubingwa EPL kutokana na mafua ya China

Mzuqa wanajamvi!

Kuna wasiwasi wa Liver kutokutwaa ubingwa wa EPL kutokana na homa ya mafua Coronavirus kuingia Uingereza na kuthibitika leo watu wanne wanayo huko Scotland baada ya kutoka nayo China.

Huu ungonjwa unasambaa kwa kasi ya ajabu na kwa muda wa miezi miwili tu itaambukiza mamilioni ya watu Uingereza na kuleta maafa. Shughuli zote zitasimama pamoja EPL na kusababisha Liver kukosa ubingwa.
ongeza sauti usikike vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom