RAKI BIG
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 394
- 456
Hii game bana me nilikata tamaa kabisa kwenda kuingalia nikaenda zangu kulala aise.sasa nipo kitandan usinginzi ushaanza kunichukua jamaa yangu akanipigia simu kwa shangwe.nikamuuliza vip mzee.akaniambia huku liver kapindua meza barcelona walituandalia ugali dagaa lakin sasa hali imebadilika tumepindua meza tumeweka biriani mezan gwijnalud kashapiga goli la tatu tunasuburi la nne huku barce mpka mda huu hawana kitu,nikakurupuka fasta mpaka bandani nakuta kelele za hatari.kufika namkuta trent ndo anapiga kona yake ya maajabu ilioishangaza dunia mara ikamkuta orig sijakaa sawaa cha nne hahahahaha.dah ilikuwa hatar sana .polen haters najua huu uzi utawakera ila ndo game zilivo
je ww tupe na stor yako ilikuaje.
je ww tupe na stor yako ilikuaje.