Kuna pundit bongo nimemsikia anamweka Jota na Chicharito in same bracket, does it sit right?
Must be a lazy pundit, i think alikuwa anajaribu kuonesha ufanano wa Jota na Chicharito katika suala nzima la kuwa ruthless kwenye box kwasababu ya timing & quick reading of the ball movement but then alitakiwa kuangalia all-round play ya Jota & Chicharito, ni 2 different players.

Chicharito ni "typical" number 9, Jota ni "typical" winger, RW/LW, but Klopp is playing him as inside forward/false 9 or as a second 10, his job is to score/link up play/press/hold or occupy the attacking channels for our Wingers, ningesema ku-assist but that is not one of his strength so his main job ni kufunga/occupying attacking channels/press from halfspaces, higher-up the pitch & kuiba first balls, roles ambazo haziwezi fanywa na typical number 9 kama Chicharito, Chicharito was a poacher, a very good poacher but ange-struggle sana kipindi hiki cha VAR, maana strengh yake kubwa sana ilikuwa ni NDANI YA BOX, tofauti na Jota.

Kama angefanya a little research nadhani angepata room ya kuwa more specific.
 
Tumepata proper test leo.

Tumeshinda lakini yale yale ya siku zote pasi matata ya kuchana ukuta wenye nidhamu kama huu wa leo bado ni changamoto kwetu.

Boys leo wameonyesha big statement anbayo ni not giving up kukomaa mpaka dakika za mwisho yaaani huu ushindi sio mdogo mbali una impact kubwa sana.

MosDef alisema mpira ni mchezo wa sekude moja tu inabadilisha matokeo yote na leo tumeona 1 move 1 shot 1 goal and hureee we return from Wolverhampton na pointi 3 ugenini.

Next game ugenini UCl San Siro kuwavaa Ac Milan

No new injury.

Bold move by Klopp kuona udhaifu wa Henderson ku maintain position na right body language..

YNWA
It wasnt a proper test captain, lets be honest to ourselves here, leo our 3rd MF ametulet-down big time, Sloppy passes, poor link-up, poor behind-runs, poor defensive pattern etc, hakuwa mchezoni, hiz first-pump passes were poor, atleast akiwa on-form huwa zinaitika hata 2 kati ya 10, but leo attempts zote zilifail, first half aliua our build-ups kama tatu kwa bad link-up play, he was just poor today, we need to say it with our chest, yes he was very good against Everton but leo he was the problem, Thiago & Fab were on they're own, ndiyo maana leo defensive stats za Thiago zime-shoot, because he was covering a lot for Henderson, and you cant create nothing when Thiago is loaded with defensive duties kama leo, Thiago had to stay with Traore because Henderson was "lacking", na siyo kama ninam-bash Henderson, nilishayasema haya, Henderson is 31 with injury problems, physical level yake imepungua sana, kwa jinsi alivyocheza dhidi ya Everton, leo ni lazima mwili wake ungemkataa because ni game ambayo pia ilikuwa inahitaji a lot of running, and i was suprised it took Klopp 67 minutes to sub him off.

Then, again props to Bruno Lage, he did his home work, but he managed to contain us mpaka Klopp alivyo-switch to 4231 kwa kumtoa Henderson, you see? Ilibaki kidogo tu-drop points leo, Henderson alikuwa anatakiwa atoke tangu HT, but klopp was hoping game itabadilika somehow, tusingeweza kuipasua 3-5-2 ya Wolves na a struggling MF as our ATTACKING LINK, when we switched to 4231, Lage responded kwa ku-switch back to 433, our pivot managed to sustain Traore pressure (his main threat), and compatness ya Wolves ikavurugika/kubadilika na kutupa relief ya kuanza kutengeneza more rooms & chances, nimeona sehem watu wanasema kuwa Ait Nouri alivyotoka ndiyo Salah akapata hata mwanya wa kutoa ile assist, hii ni lazy take pia, Ait Nouri managed to stay on Salah arse the whole game because his Right flank partner (Henderson) wasnt doing his job, na pia hata Nouri angekuwepo ingekuwa ni ngumu kum-stop salah, because tulivyoswitch in 4231 Wolves walianza ku-defend in "Semi-circle" shape ili kubalance na kuzuia runs za Mane na Jota (then Ox baada ya kuingia) pale watakapo-break down MF-3 yao kutoka katikati, hizi siyo theories ni "numbers" nita-share diagram kuonesha Mane na Ox walikuwa wapi (eneo lipi) wakati VVD anacheza ile pass kwa Salah, na utaona ni jinsi gani ilivyo-ngumu kwa FB yeyote ku-itime ile pass in a semi-circle shape.(nimejaribu ku-share diagram but naambiwa i'm not permitted to perform this action, man i have been a member on this helpless platform since 2014, this must be new to me)

Wolves are well coached team, Bruno got it right today kwa upande wake, Moyes and Potter destroyed us kwa kutumia the same formation 352, but at WH hatukuwa na Thiago wala Keita, and against Brighton hatukuwa na Thiago na Keita aliumia dakika za awali, Bruno Lage managed to sustain us kwasababu Henderson looked tired and wasnt running or providing enough energy kwenye MF (bitter truth), but today we had a fit Thiago, so Klopp had to change to 4231 ili kumruhusu Thiago kufanya his usual diversion, na ndiyo maana leo hajamtoa dk ya 70 (he's managing his minutes), because he had a work to do (this is what we bought him for)

Again, forget about Salah, Jota, Mane, if we manage to keep Thiago & Fabinho fit and somehow get Keita to play atleast 15 games, we will win this league, and no am not dreaming

View the diagram below.
 
Pearce, Doyle, Maddock, Bascombe etc, wote wapo kimya kwa performance ya Henderson leo, but mnakumbuka when they went hard on Keita baada ya game ya Atletico kule spain, game ambayo tulishinda na Keita alifunga a wonderful strike, but article zili-jaa maneno ya karaha sana, Wa-Africa wenzetu wanaocheza kwenye hizi big teams especially LFC yenye stupid jornos kwa hawa wanapata tabu sana.

Kwasasa kama mme-notice target yao ni Konate.
 
As a football fan, mistake kubwa sana ambayo utafanya ni ku-doubt a SUPER TALENTED PLAYER.

When Fabinho was getting adjusted, some LFC fans doubted his ability (big mistake)

When Salah was having a rough patch, some LFC fans doubted his abilities (big mistake)

Mane had a bad season (last season), some LFC started to doubt his abilities (big mistake)

When Robertson was having a bad patch, some LFC fans started to doubt his abilities (big mistake)

When Thiago was struggling because of his injuries, some LFC fans started to doubt his abilities, this was more laughable, (big mistake)

You see, watu wameona what a capable and a fit Keita can do for this team, but bado wana-doubt.

What am trying to say ni kuwa we have a team with full of elite footballers, and we should be proud of them without taking anything from Henderson, Milner, Natt, Ox etc, its takes a human-being with a strong mentality level to lead and play with these elite footballers katika level kama hii, and thats where you got to CONGRATULATE JORDAN HENDERSON, and kila siku nasema kuwa JAMES MILNER ni mfano wa kuigwa kwa kila mtu anaye-dream kuwa mchezaji, au mchezaji yeyote anayetaka kuifikisha career yake mbali, he's a TOP PROFFESIONAL.

We need to cherish them, love them and protect them, they're giving us so much joy, they're playing for our shirt and club, they love us, they love the club.

Its ok KUKOSOA, nitaendelea kusema hivi KILA SIKU, mchezaji akicheza chini ya kiwango au akii-cost team, its ok KUMKOSOA, KUKOSOA ni part ya kujenga, football ni sport iliyojaa EMOTION, kila mtu anapokea mitazamo, matokeo ya kushinda na kushindwa kwa njia yake, so just let your emotions be heard, its your right, you shouldnt be questioned/mocked kwa kuitakia team yako mema/ushindi.

Football, ni way of life, i dont know about you, but i live FOOTBALL.

Football is a way of life? why? you see for us LFC fans next weekend we got to witness the man who pulled us out kwenye matope ya kila aina, the man who was willing to die on the pitch ili TUSHINDE, atakuja Anfield kwa lengo moja tu, KUTUFUNGA, its actually amazing, right? then we got SIMBA & YANGA going at each other in a hard way in the same WEEKEND, so you can witness your club hero win or lose against you for the first time and witness your favorite & birth-right/parent club lose or win against its arch rival, amazing, right? you see? THAT'S LIFE, THAT'S FOOTBALL, THAT'S THE WAY OF LIFE.

Love you all.
 
So Man Utd, wametuletea Germany Bielsa

Ideas nyingi, good eye for talents, but zero implementation on the pitch.

This is why Bielsa hajawahi kupata a top job, maybe Lazio & Bilbao if you consider them kama top jobs.

Same to his Germay twin, his biggest job as a coach, his top job ni Schalke O4.

Fixture yao ni nzuri from now mpaka january i guess, so tutapigiwa makelele for few weeks then tutarudi kwenye reality.

Growing up, sikuwahi kuwaza Man utd itakuja kufikia katika tope hili, walitutesa sana hawa wapuuzi.

Hate or love him, Fergie was ahead of his time, one of best football managers & coaches ambao am proud nimewashuhudia wakitengeneza legacy yao.
 
As a football fan, mistake kubwa sana ambayo utafanya ni ku-doubt a SUPER TALENTED PLAYER.

When Fabinho was getting adjusted, some LFC fans doubted his ability (big mistake)

When Salah was having a rough patch, some LFC fans doubted his abilities (big mistake)

Mane had a bad season (last season), some LFC started to doubt his abilities (big mistake)

When Robertson was having a bad patch, some LFC fans started to doubt his abilities (big mistake)

When Thiago was struggling because of his injuries, some LFC fans started to doubt his abilities, this was more laughable, (big mistake)

You see, watu wameona what a capable and a fit Keita can do for this team, but bado wana-doubt.

What am trying to say ni kuwa we have a team with full of elite footballers, and we should be proud of them without taking anything from Henderson, Milner, Natt, Ox etc, its takes a human-being with a strong mentality level to lead and play with these elite footballers katika level kama hii, and thats where you got to CONGRATULATE JORDAN HENDERSON, and kila siku nasema kuwa JAMES MILNER ni mfano wa kuigwa kwa kila mtu anaye-dream kuwa mchezaji, au mchezaji yeyote anayetaka kuifikisha career yake mbali, he's a TOP PROFFESIONAL.

We need to cherish them, love them and protect them, they're giving us so much joy, they're playing for our shirt and club, they love us, they love the club.

Its ok KUKOSOA, nitaendelea kusema hivi KILA SIKU, mchezaji akicheza chini ya kiwango au akii-cost team, its ok KUMKOSOA, KUKOSOA ni part ya kujenga, football ni sport iliyojaa EMOTION, kila mtu anapokea mitazamo, matokeo ya kushinda na kushindwa kwa njia yake, so just let your emotions be heard, its your right, you shouldnt be questioned/mocked kwa kuitakia team yako mema/ushindi.

Football, ni way of life, i dont know about you, but i live FOOTBALL.

Football is a way of life? why? you see for us LFC fans next weekend we got to witness the man who pulled us out kwenye matope ya kila aina, the man who was willing to die on the pitch ili TUSHINDE, atakuja Anfield kwa lengo moja tu, KUTUFUNGA, its actually amazing, right? then we got SIMBA & YANGA going at each other in a hard way in the same WEEKEND, so you can witness your club hero win or lose against you for the first time and witness your favorite & birth-right/parent club lose or win against its arch rival, amazing, right? you see? THAT'S LIFE, THAT'S FOOTBALL, THAT'S THE WAY OF LIFE.

Love you all.
umeandika mengi ila kuna kitu umesahau nacho ni " football without ORIGI is nothing"
 
Wolves wamekuja na solution, 631 is a good system to defend Liverpool.

Na Klopp akapata solution, 4-2-3-1 is good system to destroy 6-3-1

Si unaona alitoa Kiungo Henderson akaingiza Striker Origi then alichezesha washambuliaji Mane-Jota-Origi-Salah? Kisha Mane-OX-Origi-Salah.

Hivyo ukipanga 6-3-1 tunaingiza 4-2-3-1
 
Sijui bado watakuwa na moyo kwamba wanachukua ubingwa?

Maana walikuwa wanaongozA ligi ukiwaambia nyinyi hamchukui hawakuelewi.

Walianza ligi kwa mbwembwe kuna kipindi walituacha points 4. Wakajiona wameshachukua ubingwa. Sasa hivi tumewaacha point 1.

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini chelsea itachukua ubingwa.

Chelsea likikaa juu kulitoa ni kama kumsukuma mlevi, lakini bhana Pep kukaa pale kumtoa lazima utapike Nyongo 😂😂
Yani Pep nahisi ndiyo ameshafika pale, Kipara hakubali kuchomolewa hata kwa kurogwa 😂
 
Huyu jamaa sio kwa ma goli haya aisee yaani wakati wengine wote wamechemka anaibuka na kuokoa jahazi..

Kwa mbali naanza kuona jawabu kwa Klopp pindi Mane na Salah wakitua Cameron 2022 January Afcon.

YNWA

Kwa Tahadhari:

Huyu Origi ni kama alivyokuwa Oleguna Sosha pale Man U daima ni Super sub anaye rescue Team from nowhere! But ukimuanzisha tu anaperform kwenye mechi 3 tu then anapotea to nowhere.

Njia pekee ni Bobby kupona iwe Jota-Bobby-Origi then OX na Minamino watakuwa ni Sub wa Front 3.
 
Chelsea likikaa juu kulitoa ni kama kumsukuma mlevi, lakini bhana Pep kukaa pale kumtoa lazima utapike Nyongo
Yani Pep nahisi ndiyo ameshafika pale, Kipara hakubali kuchomolewa hata kwa kurogwa
Atatoka tu ikishindikana atatoka tukikutana
 
Back
Top Bottom