bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 622
- 1,252
Hii team inacheza kseng Sana.. nafasi nyingi kufunga kugumu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ivi zile Kenge za Halisi zimezama vichaka vya wapi!
Ally Bakari
Alizidi mkono pale.FA tangu mwanzo a ligi wameonesha nia yao ovu dhidi ya Liverpool VAR inachunguza magoli ya Liverpool ni hatari!
VAR mkuu ni ushenzi tu! Eti wanachunguza mpaka ukucha kama umezidi! Yaani ukiangalia kabisa unaona jamaa wa AV alikuwa ametangulia mguu!Alizidi mkono pale.
Nimeangalia game dk za mwishoni naona mane anakosa bonge la goli aiseeeeeTumeshinda Ila mbele wafungaji wetu wamekuwa butu Sana..
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Watakuja baada ya ushindi mara mbili mfululizo.
Nimeangalia game dk za mwishoni naona mane anakosa bonge la goli aiseeeee
Maneyner zerkorTena wakirudi fujo lao wanavyojifanya Wanaipenda Timu utadhani sio wanaokimbia Timu ikiboronga.
Allison is shit
Wewe ci ulikuwa mmoja wapo?Ivi zile Kenge za Halisi zimezama vichaka vya wapi!