Kwa matokeo ya man city dhidi ya liverpool ungesema city ni bonge moja la timu lakini baada ya leicester kushinda leo unajiaminisha kuwa kumbe tatizo ni form ya liverpool hivyo man utd bado ni title contender.
We ni shabiki wa man u? Timu imeshinda mechi 13 mfululizo afu unaongea ujinga huo
 
Sasa ni mwendo wa long ball tu. Tunahitaji wachezaji wa aina ya sterling, Sancho, bernardo Silva yaani dribbling dribbling dribbling. Yaani unalazimisha. Mpira gani huu tunacheza. Yaani Alison amekuwa na touch nyingi kuliko hata jones na gini!

Wallah tumeshindwa hata kutengeneza mashambulizi! Soon tutaanza kuitwa UTOPOLO
 
Kabisa ndugu...

Kwa sasa hakuna tena kutembea na matokeo mfukuno ni mwendo wa kupigika nyumbani na ugenini...

Inauma hatukuzoea haya kwa muda sana tangu alivyotua huyu Mjeremani..

Kwa sasa ni dhahiri wapo bora zaidi yetu na ni muda mwafaka tukumbali ili kuanza safari ya kujisuka upya..

Bila kutazama VVD, Gomez nk hawapo makosa sasa yamekua ni mengi mno kwa hawa waliopo...

Namna Klopp atatuoaje kwenye hili janga ndio itakua mtihani wake Mkuu tangu ajiunge na majogoo...

YNWA
learning is from failures mkuu, tuvute subira, msimu huu unaweza usiwe wenye mafanikio kwetu.
Wapambe wa Chelsea wapo humu kupiga kelele na kutafuta wa kuungana nao kwenye kukosa mafanikio na kufikia hatua hadi ya kufukuza kocha hata msimu haujaisha.
 
Yeah ni kweli msimu huu umekua well documented mengi yamesemwa na yalishasemwa tangu zamani kuhusu depth ya kikosi.. Hatuna like for like sub kwenye bench letu na hii ndio imetufikisha hapa..

Pep mwenyewe yalimkuta last season kumtoa Kompany akaja umia Laporte na msimu wao uliishia pale pale..

Sisi kumtoa Lovren bila mbadala wake aafu akaja umia VVD ki ufupi msimu uliishia pale pale.. Huo ndio ukweli.

Kwa sasa tupambane tubakie BIG 4 maana kuikosa BIG 4 ni janga lingine kwanza kukosa ela ya Uefa na pia kuvutia wachezaji bora ambao wengi wao huvutiwa na timu zinazoshiriki Uefa..

YNWA
 
@mosdef aliandika hapa tetesi za hendo na alison kupigana mazoezini, kisha fab akagoma kucheza cb na vitu kama hizo.......

ukiangalia mwenendo wa timu kwa sasa kuna kila dalili za ukweli ktk hilo, na kama ndivyo ilivyo basi club itakua imeegemea upande wa le captain
Walpigana kisa Nini sasa
 
Captain hua anajulikana kipindi cha matatizo sasa huyu wetu baada awe mstari wa mbele kutafuta solution ndio kwanza analeta balaa zaidi...

YNWA
 
nasubiria uchambuzi wa yule Spanish Jonjo Shelvey mipasi kibao bila assist leo vipi?? hajapiga pasi 75 kwa zile dakika alizocheza??
 
Ukweli mchungu.

Liverpool has become ordinary team. Yaani sioni tukiata hata top 4. Timu haina makali kabisa, muda wote ni kucheza back passes.

Alison amekuwa another Karius. Dhidi ya city aliwazawadia goals mbili. Leo tena kawapa leicester bao la kizembe kabisa. Ukiangali utadhani Kabak ndo alifanya blunder, lakini sio. Alison alitokea mbali Sana kufuata moira ambaao Kabak lazima angeucheza.

Next tunaenda kuaibika Kule ujerumani. Leipzig hawawezi kutuacha. Kwa ile Nazi pressing sijui tutaweka wapo sura zetu. Ndio tunazidi kuwakaribisha lina Ollachuga Oc kuja kutupigia kelele hapa jukwaani.

Tumeipenda wenyewe tuvumilie tu hanna namna.

YNWA

Kabla Allison hajaanza kutoa maboko kuna game kadhaa yeye ndiye alikuwa Man of The Match.

Tukatoa tahadhari kwamba inapofikia Man Of The Match anakuwa golikipa, tena mara nyingi basi ujue yajayo hayafurahishi.
 
kwahiyo mnasemaje Adrian arudi?
 
Back
Top Bottom