kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
Point yako ni ipi?EPL ipo huko Uingereza ndo maana!!
Point yako ni ipi?EPL ipo huko Uingereza ndo maana!!
Zile goli za kubebwa?? Kama unashikwa shati na Brighton tegemea kukosa EPL msimu huu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Swali lakoPoint yako ni ipi?
Msimu uliopita ilikuwa yenuReferee na VAR jana wametufanya mbaya sana.
Hahaha angalia mawazo ya huyu takatakaMourinho ni real threat..
Chelsea wata collapse very soon
Hakuna English coach wa kushinda EPL these days...
City nao wanakuja
Nimejiuliza Sana why VAR zinai cost Liverpool more kuliko timu zingine?
Au FA wanataka Kocha muingereza achukue kombe? Lampard??
Au Harry Kane wanataka kumpa Kombe??..
Waingereza si watu kabisa WA kuwaamini..
Thinking loud..
Juzi alifunga?