Liverpool lost 7-2 to Aston Villa
👇​
Aston Villa lost 3-0 to Leeds
👇​
Leeds lost 1-0 to Wolves
👇​
Wolves lost 4-0 to West Ham
👇​
West Ham lost 2-0 to Newcastle
👇​
Newcastle lost 3-0 to Brighton
👇​
Brighton lost 3-1 to Chelsea
👇​
Chelsea lost 2-0 to Liverpool.

👉 Maybe it really is the league in which anyone can beat anyone.

👉 Tujifunze kitu hapo
Ondoa Chelsea hapo wewe
 
Kuna yule defender wa Everton anaitwa Yerry Minna huyu jamaa dakika ya 65 tu huwa yupo Hoi vibaya pumzi inakata mapema sana ,Anaanza kazi ya Kubutua butua mipira mbele tu.
 
Kuna yule defender wa Everton anaitwa Yerry Minna huyu jamaa dakika ya 65 tu huwa yupo Hoi vibaya pumzi inakata mapema sana ,Anaanza kazi ya Kubutua butua mipira mbele tu.

Mbona unasema leo Baada ya kufungwa,hao everton walianza mechi 4 mfululizo bila kufungwa,watu wanasifia everton wako vizuri,vipi tena imekuaje?

Mkuu inawezekana ndio maelekezo ya kocha,maana ulivyosema inaonekana ndio tabia yake .
 
Tuna imani na Fabihno mkuu..

Kutoka kucheza DM mpaka kuja kucheza RCB na ni mechi ya nne jana amecheza hapo bila kupoteza wala kutoa draw woow boy has talent..

Kwani Mkuu DullyJr ukiwa Fabby au D. Luiz acheze CB timu yako utamchukua nani...

Jota taarifa zake unazo huyu ndie new CR7 and mind you boy is 23yrs old..

Hendo playing now like a real Captain sio yule mediocre wa zamani..

YNWA
Hata ukiweka na mwamnyeto bado ntachukua mwamnyeto nini Luiz

Jota nimemkubali, kama vipi tufanye swap na mustafi na pepe
 
Hata ukiweka na mwamnyeto bado ntachukua mwamnyeto nini Luiz

Jota nimemkubali, kama vipi tufanye swap na mustafi na pepe
Pepe mr shoto hahaha kwa £80m 🤓🤓🤓🙈🙈🙈huyo dogo sijui anakwama wapiiiii...

Mustafi bora Hendo acheze beki...

Jota ndio future wa front 3..Klopp sasa anamtaka baunsa Traore ili azidi kua na front 3 mpya kwani hawa sasa kwa kasi ya EPL wana miaka miwili mbele waanze kutoa povu...

YNWA
 
123 Reactions
Reply
Back
Top Bottom