DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,962
- 11,797
Here we goTunae Klopp,super tactian
Everton hawezi tufunga
Sijui James sijui upuuzi gani ndiyo nn sasa?
Klopp anajua wapi team ili collapse na atarekebisha!
Kipa Adrian sio sababu ya kufungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Here we goTunae Klopp,super tactian
Everton hawezi tufunga
Sijui James sijui upuuzi gani ndiyo nn sasa?
Klopp anajua wapi team ili collapse na atarekebisha!
Kipa Adrian sio sababu ya kufungwa
7Kunguru kumyea binadamu sio kwamba ana shabaha imetokea tu kwa bahati
Wazungu wanaita coincidence
Habari yenu kwîsha. Jitihada zetu hazionyeshi Kama Kuna k2 tunakitaka msimu huu mkuu angalia tunaongeza goli linarudishwa
We takataka unapatia wapi nguvu za kuinanga arsenal wakati timu yenyewe hunaJana nilitupia draw zote sema Arse8 mshenzi kanichania ..leo ningemka na 900k
Last season Manchester City lost Vincent and Laporte got injured the rest is history.. The choosen one couldn't defend Pep even sent Fernandinho to play as make shift CB and even him couldn't prevent thier collapse...Klopp with his pride was just too proud to sign CB at the right moment
MadridSiku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.
Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea
Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Atleast game ya Arsenal ilijulikana watakufa tu kwa Man City.
Mzee msimu huu mjipangeAiseee! Zile troublemakers za Arsenal angalau zimetoweka kupita kila Uzi na kuleta usumbufu.
Ila yako? Nyani haoni kunduleWale tushawazoea muda si mrefu watatoweka kabisa kwa sababu shughuli imeanza na timu yao tunaijua tia maji muda wote
Adrian mmoja sawa na kepa kumi na tatuHivi nyinyi ni kweli bado munaimani na Kepa?
Au mkataba wake unasema akiwa mzima ni lazima acheze?
Jamaa anawarudisha nyuma! Soon nitamueka kwenye kundi la Adrian na Karius.
Huu ubingwa tunautetea bila ya wasiwasi wowote.
Kipimo kizuri cha kupima upambaji wa Timu yetu ni mechi ya Jana.
Everton wapo On Fire tena ndani ya Godison Park kushindwa kutufunga na wao kuishia kuchomoa na jinsi tulivyolitawala Dimba ni wazi kuwa bado tuna timu nzuri.
Kiuhalisia ratiba yetu ya Mechi 5 za mwanzo ni very tough kuliko ya Timu yoyote ile kwenye EPL.
Leeds
Chelsea
Arsenal
Villa
Everton
Tumepata points 10 out of 15 sio jambo baya hilo ingawa tulideserve more.
Ukitazama hapo Timu nyengine yoyote haiwezi kupata points 10 out of 15 kwenye ratiba hiyo.
Mibeki yenu mibovu mnamsingizia kepa.Keppa ni tumbo moja na Karius baba wa Karius na baba wa Keppa ni mtu na mdogo wake.
Imani ilishapotea kitambo ndio maana tukafanya usajili wa Mendy sema mpaja jana alikua bado majeruhi aliumia inernational match.
Wanaume? Wamehama ligi,Wamejipa ban wenyewe.
Will Jr nimemuona Kule kwa wanaume anajichekesha chekesha.
GGMU
wewe yako ipo?Habari yenu kwîsha
Wanaume? Wamehama ligi, View attachment 1603923
Dirisha la usajili January, kutoka sasa hadi January kuna mechi ngapi hapo mbeleni?Reds Thiago kaumia Tena ?
Tulisema sana wakati wa usajili wake,,, jamaa yupo vzr tatizo Ni hizo pancha ! Akiwa fit anadeliver vyema!
Anyway gari ya mkaa, trip shamba, trip gereji !
Ati miezi Saba VVD ? !!! Matip nae pancha, uchochoro Gomez atacheza na fabi !
Na mwenzie Gomez 😊😊😊😊😊..Jana sijaangalia mechi lakni nafikiri Adrian atakuwa kafanya yake tena
Lots of ,,,,,,!!! Especially dec/January ipo busy Sana, every three or four days mnacheza ! This is EPL ! Usisahau maboss zenu mpaka wauze ndo wasajili ,,,,Dirisha la usajili January, kutoka sasa hadi January kuna mechi ngapi hapo mbeleni?
Mpaka mechi ya Manchester United tarehe 16/01/21 Liverpool anacheza gemu 21 hivi ndugu...Dirisha la usajili January, kutoka sasa hadi January kuna mechi ngapi hapo mbeleni?
Thiago huyu huyu kaka...MATIP - GOMEZ
Gomez sikuhizi anaonesha kuanza kuhama kwenye lile janga la Injury Prone.
MATIP bado ni mhudhuriaji mzuri tu wa Wodi ya Wagonjwa.
Hivyo usajili wa Alcantara ni wazi umeleta mabadiliko kwa nafasi ya kiungo na ulinzi, why??
MATIP sio maranyingi kucheza michezo zaidi ya 5 bila ya kurudi gereji.
Hivyo, ikitokea MATIP kuumia ni kwamba Fabinho atahama kutoka Midfield na kurudi Centre Half.
Midfield itakuwa hivi:-
GINI - HENDO - THIAGO
CB itakuwa
GOMEZ - FABINHO
Nadhani tutakuwa tumeshasolve tatizo.