VVD amepata rupture ya Anterior Cruciate Ligament (ACL) ambayo wataalamu wanasema matibabu yake mpaka ifanyiwe surgery! Na wanasema kupona kwake muda wa chini inahitaji Miezi 7.
Matip and Gomez fitness is highly questionable..

Naona Fabby akiwa utilised as CB going forward..

Wakati wa usajili haya yalisemwa wenye maamuzi wasajili CB na Kalidou akawa anasemwa watapeleka ofa ila ndio hivyo hakuna ofa...

Hizi habari sio kabisa..

Najiuliza vs Atlanta na Ajax UCL itakua aje..

Kuanzia wekedi hii mpaka krismasi kuna mechi angalau 2 kila wiki ki ukweli tunahitaji kikosi kilocho kamili mno..

YNWA
 
And which guys do we have there for CB ? The only one whom I think is reliable at the Moment is Fabinho

Hata Matip simuamini sana
 
Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.

Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea

Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Atleast game ya Arsenal ilijulikana watakufa tu kwa Man City.
 
Huu ubingwa tunautetea bila ya wasiwasi wowote.

Kipimo kizuri cha kupima upambaji wa Timu yetu ni mechi ya Jana.

Everton wapo On Fire tena ndani ya Godison Park kushindwa kutufunga na wao kuishia kuchomoa na jinsi tulivyolitawala Dimba ni wazi kuwa bado tuna timu nzuri.

Kiuhalisia ratiba yetu ya Mechi 5 za mwanzo ni very tough kuliko ya Timu yoyote ile kwenye EPL.

Leeds
Chelsea
Arsenal
Villa
Everton

Tumepata points 10 out of 15 sio jambo baya hilo ingawa tulideserve more.

Ukitazama hapo Timu nyengine yoyote haiwezi kupata points 10 out of 15 kwenye ratiba hiyo.
 
Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.

Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea

Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Atleast game ya Arsenal ilijulikana watakufa tu kwa Man City.

Aiseee! Zile troublemakers za Arsenal angalau zimetoweka kupita kila Uzi na kuleta usumbufu.
 
Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.

Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea

Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Atleast game ya Arsenal ilijulikana watakufa tu kwa Man City.

Hivi nyinyi ni kweli bado munaimani na Kepa?

Au mkataba wake unasema akiwa mzima ni lazima acheze?

Jamaa anawarudisha nyuma! Soon nitamueka kwenye kundi la Adrian na Karius.
 
Keppa ni tumbo moja na Karius baba wa Karius na baba wa Keppa ni mtu na mdogo wake.

Imani ilishapotea kitambo ndio maana tukafanya usajili wa Mendy sema mpaja jana alikua bado majeruhi aliumia inernational match.
 
MATIP - GOMEZ

Gomez sikuhizi anaonesha kuanza kuhama kwenye lile janga la Injury Prone.

MATIP bado ni mhudhuriaji mzuri tu wa Wodi ya Wagonjwa.

Hivyo usajili wa Alcantara ni wazi umeleta mabadiliko kwa nafasi ya kiungo na ulinzi, why??

MATIP sio maranyingi kucheza michezo zaidi ya 5 bila ya kurudi gereji.

Hivyo, ikitokea MATIP kuumia ni kwamba Fabinho atahama kutoka Midfield na kurudi Centre Half.

Midfield itakuwa hivi:-

GINI - HENDO - THIAGO

CB itakuwa

GOMEZ - FABINHO

Nadhani tutakuwa tumeshasolve tatizo.
 
Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.

Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea

Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Atleast game ya Arsenal ilijulikana watakufa tu kwa Man City.
Jana nilitupia draw zote sema Arse8 mshenzi kanichania ..leo ningemka na 900k
 
Back
Top Bottom