Asubuhi tujitahidi kuamka mapema tuchanje kuni za kupikia wali ili marehemu asione tumemletea zarau kwa mara ya pili
 
You know i love Liverpool

That imeingia kwenye unconscious mind

After slightest errors from firmino nikahisi kitu we are going to be devastated here

Liverpool ya sasa tukishambuliwa tu ni hatari hatari sana kwetu

Mabeki wamesahau kazi yao Trent na mwenzake the whole they think ni wao watoe assist waende mbele

Vvd nae kacheza muda mrefu he is a human naelewa kachoka

Mbaya zaidi attacking yetu imekua mbovu firmino hatufai tena false 9 ime feli huwezi kuwa una press juu muda wte na unashindwa Kufungwa kinachofuatwa mnaaachia gaps mnapigwa

Anyway klopp needs to know that other coaches gotcha brains also
And they can think..
 
Hello the Champions!I'm sorry for whatever happened there. I wanted to say that Arsenal Invincible record will stand for at least another season. I'm 1 million percent sure that Aston Villa and Everton will lose a game in next 3 games.
 
Mmetoka kuliwa supu nyumbani na Arsenal leo tena mnajipeleka ugenini wenyewe mmetafunwa haswaa.

Hata tukisema pole haiwasaidii mmetawaliwa na viburi mtabaki na faraja ya vikombe tu kwisha habari yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ,kweli hii dunia sio yetu..
Tutainuka tena , bora mwanzoni kuliko mwishoni.
#YNWA
20201005-055527_1.jpg
 
Depal yeye jana kashinda 4 bila leo kafungwa 7 kwa 2, huko aliko anafanya kalukulesheni itakuwa 7 kwa 6 hivyo haimuumi sana, goal dıff ni 1 tukama alivyofungwa Sheffield tuila nyie wengine sasa
 
I can't believe! Pepoz doing everything to protect Adrian, for what reason?
Jamaa ametuchomesha! Period.
Hakuna,

Mimi nimecheki game alfa na omega, goli 4 ni deflection wamemuuza mabeki, na hayo mengine mawili counter mabeki wamechomesha, moja penați, tena amesave 1 against 1 kama mbili hivi, ambazo leo hii tungekuwa tunazungumzia 9 kwa 2,

Kipa kajitahidi sana tena sana
 
Mkuu tuheshimiane. Daima huwa naweka magoli ya ushindi kwa kila uzi husika sijawahi wawekea magoli mliyofungwa kule arsenal

Am Manchester United fan ila magoli ya jana ya spurs yote yapo uzi wa spurs. Villa hawana uzi serious humu siwezi choma MB zangu kukupa burudani mtu mmoja tu
Numbisa kama nguvu unayö fanya jukumu lako,
Usijilazimishe lakini...
 
I can't believe! Pepoz doing everything to protect Adrian, for what reason?
Jamaa ametuchomesha! Period.

Mkuu fikiria zaidi ya hapo, kilichotuchomesha na kinachoendelea kutuchomesha ni kupenda mitumba ya bei rahisi.

Last season, Adrian amefanya makosa mengi sana, nikajua huu msimu tutatafuta kipa namba mbili. What happened! Tukaendelea kubaki naye.

Kuna kipindi niliwahi kuweka joke humu kwamba ukinichukua hata mimi ukaniweka ndani ya kikosi, kuna mechi tutashinda, ila tu usiniweke golini. Sasa nyie mmechukua mtu wa aina yangu mmemweka golini.

Bado sana tutakutana na vipigo.
 
Back
Top Bottom