Mkuu timu kushinda jana na tukiwa tunacheza tia maji tia maji February ndio ujue ubingwa unarudi Anfield....

Kwanza nyie kupata clear chance sio bahati mbaya mbali ni mipango ndugu.. Na Allison kuokoa sio bahati mbaya mbali ni kipa wa levo hizo hatutegemea afungwo kirahisi,.. Kuokoa tena kutoka kwa Lacazatte ndio ujue tulimaanisha pointi 3 zinabakia home jana...

Tangu mwezi wa pili ndugu kuna loss of form timu yetu hilo lipo wazi lakini hatutegemea wachezaji wote wapoteana kwa pamoja hivyo jana wame step up sawa sawa kwa pamoja kasoro Keita kwa mbali naona bado ana struggle kuedana na timely intensity lakini bila shaka litapita na atakua powa..

Mikel alikosea karata zake kukosa kumuanzisha Ceballos, dogo ana pasi tamu balaa...

Tukutane Carabao...

YNWA
 
Record ya jana Usiku:

Goli la 3 lililofungwa na Jota limekuwa goli lá 400 kufungwa na LFC katika ligi tangu Jurgen Klopp aanze kuinoa lfc,,,,akiwa na jumla ya michezo 185 ya ligi....

Rekodi hii haijawahi kufikiwa tangu kuundwa kwa LFC 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️-

YNWA
 
Timu yenu bado sana, tukiacha ushabiki...
Eneo la ulinzi linachuja vibaya mno, Lacazette kapata clear chance mbili akiwa yeye na Becker, boooom

Hii sio liver ya kusema haya uliyoyasema labda kiushabiki tu,

Hongera kwa ushindi, kila mtu ashinde kwake
Mkuu AB ni sehem ya Ulinzi ndio maana alitoka jamaa lenu likashikwa kiwewe likafanya ujinga twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DullyJr na Aaron Arsenal msikomae sana na matokeo ya jana jibu hili hapa👇👇👇

"Martinez was sold to Aston Villa for £25m after Arteta could not guarantee him a nod ahead of Leno. Obviously, Martinez was at the heart of Arsenal defence during Leno rehabilitation. Martinez marveled the world by his standout performance which earned Arsenal two trophies".says Tony Adams..

Leno ni Kepa mwingine...

Martinez was the real deal na pale Villa wamepata mchezaji..

YNWA
 
Record ya jana Usiku:

Goli la 3 lililofungwa na Jota limekuwa goli lá 400 kufungwa na LFC katika ligi tangu Jurgen Klopp aanze kuinoa lfc,,,,akiwa na jumla ya michezo 185 ya ligi....

Rekodi hii haijawahi kufikiwa tangu kuundwa kwa LFC 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️-

YNWA
Jota ni balaa..

Miaka 23 tu aisee..

Katupenda mwenyewe..

Shine on Jota...

YNWA
 
DullyJr na Aaron Arsenal msikomae sana na matokeo ya jana jibu hili hapa

"Martinez was sold to Aston Villa for £25m after Arteta could not guarantee him a nod ahead of Leno. Obviously, Martinez was at the heart of Arsenal defence during Leno rehabilitation. Martinez marveled the world by his standout performance which earned Arsenal two trophies".says Tony Adams..

Leno ni Kepa mwingine...

Martinez was the real deal na pale Villa wamepata mchezaji..

YNWA
Nakubali
 
Klopp huyu ni kocha mwenye kujua matumizi sahihi ya akili tunajivunia kuwa nae.

Nnachoona anatafuta backup ya kila mchezaji wa first eleven yetu taratibu bila kuvamia soko kama kina Chelsea .niliposema wamejaza machezaji mengi kwa wakati mmoja ollachuga akabisha .

Ona sasa hata lampard mwenyewe hajui atawatumia vipi..

Hakunaga mjerumani mjinga
 
Kwa hiyo wewe ukisajili ndio wachezaji ila wenzio wakisajili ni machezaji,
unaonekana unaumizwa timu zikisajili kama anavyoumia kocha wako vile
 
Back
Top Bottom