Octa_dre96
Senior Member
- Feb 7, 2019
- 105
- 157
Huyu jamaa sijamuelewa kabisa. Mchezaji kupata red card ni sehemu ya mchezo. Hakuna cha kusema wangekuwa wamekamilika. Kwani hakuna timu zinazokuwaga pungufu na kushinda? Acha bana habari zako za kishamba...mtu kacheza utumbo afu unataka aachwe.....hyo haipo vijana walicheza tena vizuri sana. Ile move ya Mane asongekamatwa na Cristensen alikuwa anaweka kamba. Sasa unasemaje timu foward yake ni butu?Wana Liverpool tusibweteke kwa ushindi wa majuzi dhidi ya Chelsea,ukiangalia kwa umakini kipindi cha kwanza ambapo Chelsea hawakuwa na red card ni dhahiri bado kuna uzembe pale mbele.
Tunashukuru kwa ile red card but kwa jinsi nilivyoiona ile game kama Chelsea wangekuwa wote kipindi cha 2 kama tungeshinda basi ingekuwa kwa ushindi mwembamba sana.kikosi chetu bado kinahitaji mabadiliko has a mbele.