Bado Bobby hajarudi kwenye form ingawa katoa assist kwa Mane goal la kwanza. Robbo ndio mashine kwa jinsi anavyopanda na kushuka. Jamaa hachoki. Kwenye kikosi yeye ndio bado yupo kwenye kiwango chake Cha msimu uliopita. Tena inawezekana akawa kiwango kimepanda.

Thiago, kacheza vizuri na Kuna makubwa yanakuja. Tabarezi fabbinho huyu jamaa ni kiraka. Kwa mbali nishaanza kuona shape ya kikosi chetu Cha msimu kitakavyokuwa kinacheza. Soon Heddo ataanza kuanzia bench,.

Sasa hapa ndiyo inakuja ile picha rasmi Kwanini ndani ya Liverpool kuna washabiki hawataki tusajili!
Sababu ndiyo kama hii wanahofia nafasi za wachezaji wao kuchukuliwa.
 
Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom