Haya ndo mambo ya klopp nayosemaga. Mnawaza huyu Yeye a nanunua yule
That means hao FSG wanakula hela ya LFC haiwezekani tukasifia netspend ya 18m GBP per season wakati Club inaingiza zaidi ya 500m GBP Kwa msimu Kwa sasaNet spend for the last 5 years..
Ipo hivi kwa miaka mitano iliyopita tumenunua wachezaji kwa 470.9m na kwa miaka mitano iliyopita tumeuza wachezaji kwa £378.5m hivyo ukitoa tulichouza na tulichotumia kununua utaona wamiliki ama klabu waliongezea £92.4m...
Je kwa washindani wetu hali iko vipi kwa miaka 5 iliyopita..
Manchester City wamenunua wachezaji wa £818. 5m na wameuza wachezaji £312.9m hivyo wenye timu ama timu waliongezea £505.6m..
Manchester United wamenunua wachezaji kwa £611. 1m na wameuza wachezaji kwa £232.2m na wenye timu ama klabu ikaongezea £378. 9m..
Chelsea wamenunua wachezaji wa £656.9m na wameuza wachezaji kwa £523.6m hivyo wenye timu ama klabu ikaongeza £133.2m
Arsenal wamenunua wachezaji wa £443.1m na wameuza wachezaji kwa £192.4m huku wenye timu ama klabu ikaongezea £249.0m..
Kwa ufupi Klopp na FSG kwa hio misimu mitano wametumia net spend per season ya £18.8m(£92.4m÷ 5years) ambayo ni minimal ukilinganisha na washindani wetu..
YNWA
Hahaha 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️ukiwasema hao mwili unasisimka yaani enzi hizo hata kuvaa jezi ya Liverpool ilikua noma sana yaaani..mkuu daglish alinifanya nione vibanda uzima vichungu sana, eti kati yupo jay spiring sijui yule
flanagan alipotelea wapi aisee? robson je? dah nimekumbuka mbali sana
Yeah ndugu kwa huyu naamini scout department itakua imejiridhisha vya kutosha kwamba anafaa kuja kumsaidia Robbo...Ngoja asajiliwe kweli apate time ya kucheza ili tuone kile Klopp alichokiona
Maana honestly huyu dogo ndo nimemjua Leo na YouTube clip huwa siziamini
Mkuu hawa FSG ni noma sana yaaani wame master how to make profit in the game since wampate Klopp...That means hao FSG wanakula hela ya LFC haiwezekani tukasifia netspend ya 18m GBP per season wakati Club inaingiza zaidi ya 500m GBP Kwa msimu Kwa sasa
Dah wewe jamaa ni msumbufu sanaHii timu bhana utafikiri wameshika nafasi ya saba yani mmedorora
Kwenda anfield nako ni deal ?Jamal lewis atakuwa analaani Sana mabosi wa norwich wamemnyima dili la kwenda anfield
Stupidest comment from a crappy guyKwenda anfield nako ni deal ?
Ngoja asajiliwe kweli apate time ya kucheza ili tuone kile Klopp alichokiona
Maana honestly huyu dogo ndo nimemjua Leo na YouTube clip huwa siziamini
mkuu usisahau kuna upanuzi wa uwanja, training complex mpya, mishahara na mengine mengi.........somehow fsg wanaendesha club vizuri, tuko stable sana kwa sasa......That means hao FSG wanakula hela ya LFC haiwezekani tukasifia netspend ya 18m GBP per season wakati Club inaingiza zaidi ya 500m GBP Kwa msimu Kwa sasa
hapana kwenda old traford ndio dili, huoni maguire alivyopata diliKwenda anfield nako ni deal ?