Hongereni kwa kulibeba kombe lakini mkumbuke ni timu moja pekee iliyobeba kombe bila kupoteza hata mechi moja..... PIGIA MSTARI
Aiseeeeh kuna muda pale ground kilioneshwa kile kikombe cha unbeaten cha gold,yaani mwili ulikuwa unasisimka mpaka nikachelewa kuchukua picha,
Nimeiwahi hii
Screenshot_20200715-234747.jpg
 
Back
Top Bottom