Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,070
huo usajili wa pjanic wenyewe naona barça wanajichimbia shimo tu...... mkuu at 29 aproaching 30 sidhan kama mchezaji kama huyo tunamhitaji
liverpool sio sehemu ya kula pension, kwangu mimi bora tuwekeze kwa kijana under 23 hata kama bei yake itakua mara mbili ya thiago!,,, wakati huu tukiwa top ndio muda mzuri wa kujenga timu ya baadae vinginevyo tutarudi kule kule
Mkuu yaani uwe PL winner halafu unaanza tena kuwekeza kwa under 23?
'Vinginevyo tutarudi kule kule' sasa wewe ndo unataka turudi huko na hao under 23 wako