Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Kibarua kitakuwa kulibeba tena ndani ya miaka 4 na kumtunza Klopp. Bayern Munich, Inter, Barcelona watamsarandia. Success yake ndani ya miaka 3 ni ya ajabu. Lingine ni kutengeneza a winning team baada ya msimu huu na ujao, mastar wengi wanaingia 29 yrs old soon.. Wachezaji watasarandiwa kununuliwa hasa na timu za Spain etc. Mawazo yangu tu.
Haitabeba kombe lolote.
Mastar wote wamezeeka, na wale ambao hawajazeeka watahamia Real Madrid, Barcelona na Bayern.
BTW Klopp anaondoka baada ya huu msimu kuisha.