Chelsea walimnunua Pulisic Kwa mbwembwe
Kiko wapi?
Gomez
btw, bila kusajili kitu cha uhakika hapo mbele next season tutapata shida sana jamani!
kumkosa Werner kwangu ni maumivu sana, hatuna mbadala pale mbele, sijui klop anawaza nini muda mwingine
minammo wenu kasajiliwa kafanya kit gan apo Liverpool[QUOTE="Ladder 49, post: 35605743,
Klopp siku zote anaona mbali sana,waache waendelee Kipigwa zama zimebadilika.
usajili kuelekea msimu wa 2018/19 watu walimlaumu sana Klopp kwa kutotafuta replacement ya Coutinho.Gomez
btw, bila kusajili kitu cha uhakika hapo mbele next season tutapata shida sana jamani!
kumkosa Werner kwangu ni maumivu sana, hatuna mbadala pale mbele, sijui klop anawaza nini muda mwingine
Pulisic kafelije? wakati karibia msimu mzima alikuwa majeruhi pamoja na mechi chache alizocheza ana goals 8 assist 4Mkuu Liverpool msimu huu wanaenda kuchukua ubingwa,wameanza msimu hawajasajiri mchezaji yoyote wakikosi cha kwanza.kuna timu kama Man U.walitumia hela nyingi sana kusajiri lakini kikowapi wapi leo,yupo anagombea nafasi ya nne huko.
Kwa utawala huu wa klopp timu zitaendelea kupata hasara maana wanatumia hela nyingi mwisho wa msimu wanataka mikono mitupu.
Huyo pulisic mkuu me niliogopa mpaka nikaanza kumlaumu klopp anazingua kwa nn ajamsajiri huyo?
mashabiki wa Chelsea waliamini watatisha na walianza kwa mbwewe sana.
Klopp siku zote anaona mbali sana,waache waendelee Kipigwa zama zimebadilika.
Kabisaaa....Hawana uvumilivu
Allison and super Mane need serious wage increase as soon...ni rahisi kuelewa kwa nini Klopp amesita kumsajili Timo Werner ambapo angelazimika kumlipa mshahara zaidi ya VVD, Alisson, Mane, Bobby, etc. ingeleta shida.
for example Keita anapata mshahara mnono zaidi ya Mane, etc, etc.....
so Klopp needs to ensure this sort of imbalances are fixed first kabla ya ku recruit a marquee player, otherwise inaweza kuondoa harmony kwenye dressing room.
binafsi sijajutia kabisa kumkosa TW - the kid is good but yet to be tested at the highest end of business and he's likely to initially struggle in the EPL just like Keita, Pulisic, etc have been.
my money is still on the toned Traore.
View attachment 1469390View attachment 1469392
Kabisa Bobby is not getting younger na Origi ana gemu zake sio serial performer...Kweli timu inahitaji kuwa na striker mmoja wa maana
Mkuu inawezekana akasajiri ila kwa ile hela klopp ndio maana ameona asimsajiri ,akachukue strike mwingine kwa bei rahisi amfanye awe world class player.
Kwa fekir niliumia sana ila ndio hivyo sasa walikuwa wanataka hela nyingi timu kwa sasa kama ya Arsenal wenger budget kwa kwenda mbele.
you can say that again!Allison and super Mane need serious wage increase as soon...
YNWA
Dogo alitaka kwenda Liverpool. Mishahara niishu ya kunegitiate hata van dyk City walimuahidi mpunga mzito but akaja liver kwa Mishahara wa chini yake.ni rahisi kuelewa kwa nini Klopp amesita kumsajili Timo Werner ambapo angelazimika kumlipa mshahara zaidi ya VVD, Alisson, Mane, Bobby, etc. ingeleta shida.
for example Keita anapata mshahara mnono zaidi ya Mane, etc, etc.....
so Klopp needs to ensure this sort of imbalances are fixed first kabla ya ku recruit a marquee player, otherwise inaweza kuondoa harmony kwenye dressing room.
binafsi sijajutia kabisa kumkosa TW - the kid is good but yet to be tested at the highest end of business and he's likely to initially struggle in the EPL just like Keita, Pulisic, etc have been.
my money is still on the toned Traore.
View attachment 1469390View attachment 1469392
Mane 100k????, Seriously??ni rahisi kuelewa kwa nini Klopp amesita kumsajili Timo Werner ambapo angelazimika kumlipa mshahara zaidi ya VVD, Alisson, Mane, Bobby, etc. ingeleta shida.
for example Keita anapata mshahara mnono zaidi ya Mane, etc, etc.....
so Klopp needs to ensure this sort of imbalances are fixed first kabla ya ku recruit a marquee player, otherwise inaweza kuondoa harmony kwenye dressing room.
binafsi sijajutia kabisa kumkosa TW - the kid is good but yet to be tested at the highest end of business and he's likely to initially struggle in the EPL just like Keita, Pulisic, etc have been.
my money is still on the toned Traore.
View attachment 1469390View attachment 1469392
Huu ndo ukweli woteKabisa Bobby is not getting younger na Origi ana gemu zake sio serial performer...
Tukipata a real 9 means Klopp can twist the system now and then...
YNWA
yeah, chini ya Hendo imagine!Mane 100k????, Seriously??
Mshahara huu umetokana na mkataba kuongezwa na kuboreshwa pia.Mane 100k????, Seriously??
Hapo ungekuta hata lallana anamzidi kama mkataba wa lallana ungeboreshwa kabla ya mane huyu wa sasa.yeah, chini ya Hendo imagine!