The Best Player In England!

Itakuwa England ya Buza hii
Ni kweli best player 2019
Screenshot_20200114-204401.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya majamaa tukikutana nayo sijui tunakuwa tumelogwa? Na ubovu wake lakini ndio timu pekee iliyoambulia sare na Majogoo kwenye raundi ya kwanza....

Imagine! Yaani unawacharaza kina ManShit, ChelSick. LazySista, AssesNo, TotoHumberger na wengine afu huyu mgonjwa Manure anakudindia droo.... huoni kama kuna kauchawi flani hawa Mbolea ya Bata wanakatumia??
nakumbuka na siye pamoja na ubovu wetu wakati fulani enzi za Fergie bado tulikuwa tunawafanyizia hivi hivi!
 
Allison ametwaa tuzo ya mchezaji bora Brazil 2019

VVD ametwaa tuzo ya mchezaji bora EPL, mchezaji bora Holland,mchezaji bora ulaya


Robertson ametwaa tuzo ya mchezaji bora Scotland 2019


Hendo ametwaa tuzo ya mchezaji bora England 2019

Mane ametwaa tuzo ya mchezaji bora Senegal, mchezaji bora Afrika


Salah ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa nchi za kiarabu, mchezaji bora wa club world cup, mchezaji bora Misri.


NB: Watu wakija hapa kupost HATES muwe mnawaelewa. Wanateseka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 of Jordan Henderson's Best England Moments of 2019 as He's Named Men's Player of the Year


Liverpool fans react as Jordan Henderson is named England Player of the Year

The Reds skipper beat Raheem Sterling and Harry Kane to the prize.

Thank you Captain Hendo,the greatest Captain EVER to lead modern soccer Liverpool
 
Back
Top Bottom