Dah! Kweli naamini kipato kina jeruri ha ha ha ha

Yani sisi Team lawama hatuonekani hata mmoja tukizungumzia usajili wa January???

Hapa inadefine wazi kabisa kuwa We are Liverpool na wala haatuna chuki na Klopp wala mchezaji yeyote bali tulikuwa na Njaa ya kutaka kuona mafanikio.

Sasa tunayaona Mafanikio kuna haja gani ya kudai usajili au kumzungumza Klopp? :D:D:D

Hata Henderson baada ya kujitambua na kuelewa nini Mashabiki tunataka basi hunioni Mtu kama mimi King Ngwaba kumjadili Hendo kwani hata nicheze mimi Mtaalamu wa Chandimu vijijini kwenye Mashamba ya Alizeti baada Kuvuna huku Magoli yakiwa ni Mabua ya Alizeti basi tutashinda na kutoka na Clean sheet.

Klopp ukitaka saini hutaki tulia mimi ninafurahi tu hapa kupata mipoints mengi na Miclean sheet ya kutosha.

Sasa hivi usajili tunaousubiri ni kupona kwa Fabinho na Matip, Keita hali yake inaniumiza kichwa maana ni mchezaji nayependa kumwona ila hali ya afya imekuwa challenge.
 
Wakati mwingine hata huko kuumia huenda ni janja tu ya klopp ili kumpumzisha teh teh teh, ila jezi namba 8 ataifanyia kazi ipasavyo, tutamuona mechi za UEFA, Klopp mjanja sana
Sasa hivi usajili tunaousubiri ni kupona kwa Fabinho na Matip, Keita hali yake inaniumiza kichwa maana ni mchezaji nayependa kumwona ila hali ya afya imekuwa challenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'd rest him for now, No pressure, we survived without him.
20200114_132110.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ollachuga ni sawa na Kenge haamini mpaka aone damu!

Unawezakuta Dakika ya 89' Liverpool inaongoza 4 kwa 0 na still akacomment mechi inaisha Draw ya 4 - 4

Lakini dakika ya 93' Chelsea imeshapigwa 4 - 0 na Bournemouth but still akakwambia game itaisha kwa Chelsea itashinda 4 - 5
yaan anaweza akakuua kwa presha ukajua ngoma imeisha 4 - 4 kumbe hujasoma vizur, huyu ollachuga bwana
 
Jumapili tunaenda kushinda goli za kutosha tu, manure ni timu dhaifu sana haiwezi kupambana na Majogoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya majamaa tukikutana nayo sijui tunakuwa tumelogwa? Na ubovu wake lakini ndio timu pekee iliyoambulia sare na Majogoo kwenye raundi ya kwanza....

Imagine! Yaani unawacharaza kina ManShit, ChelSick. LazySista, AssesNo, TotoHumberger na wengine afu huyu mgonjwa Manure anakudindia droo.... huoni kama kuna kauchawi flani hawa Mbolea ya Bata wanakatumia??
 
Jean-Louis Gasset, a former assistant of Laurent Blanc at PSG, has applauded Liverpool manager Jurgen Klopp's contribution to the game since his arrival at Anfield.

"That guy (Jurgen Klopp) is revolutionising football," Gasset said."He doesn't have the best players but he has the best team."

Sent using Jamii Forums mobile app
" success has many fathers but failure is an orphan" incognito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile sare ni yalikuwa ni mafanikio ya kubebwa na refa+VAR, vijginevyo ile mechi wangekufa si chini ya goli 3, nakuhakikishia manure Jumapili anakufa za kutosha, ile timu dhaifu sana, Halima Maguire hawezi kumkaba Firmino wakabaki salama wale Anfield, Wachezaji wetu wana morally ya hali juu sana

Back
Top Bottom