Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Dah! Kweli naamini kipato kina jeruri ha ha ha ha
Yani sisi Team lawama hatuonekani hata mmoja tukizungumzia usajili wa January???
Hapa inadefine wazi kabisa kuwa We are Liverpool na wala haatuna chuki na Klopp wala mchezaji yeyote bali tulikuwa na Njaa ya kutaka kuona mafanikio.
Sasa tunayaona Mafanikio kuna haja gani ya kudai usajili au kumzungumza Klopp?
Hata Henderson baada ya kujitambua na kuelewa nini Mashabiki tunataka basi hunioni Mtu kama mimi King Ngwaba kumjadili Hendo kwani hata nicheze mimi Mtaalamu wa Chandimu vijijini kwenye Mashamba ya Alizeti baada Kuvuna huku Magoli yakiwa ni Mabua ya Alizeti basi tutashinda na kutoka na Clean sheet.
Klopp ukitaka saini hutaki tulia mimi ninafurahi tu hapa kupata mipoints mengi na Miclean sheet ya kutosha.
Sasa hivi usajili tunaousubiri ni kupona kwa Fabinho na Matip, Keita hali yake inaniumiza kichwa maana ni mchezaji nayependa kumwona ila hali ya afya imekuwa challenge.