Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,573
- 1,390
Kila kitu kina muda wake.Nilijua tu katika Post yako yoyote lazima utatanguliza Dharau (Huyo Jamaa Hamna Kitu)
Sasa Kama wewe ndiyo bingwa wa kupost vitu vyenye kumake sense kwanini kwenye post zako unajiwekea Defensive mechanism kwa kutanguliza kudhoofisha wengine?
By the way! Turudi kwenye hoja
Madison ni new version ya Lallana tu Hamna kitu pale.
Angelikuwa mchezaji asingelikiepo pale alipo
Pep, Klopp, Emery, Poch, Ole wote wameshindwa kumuona kama kweli mchezaji?