Objective ya ARSENAL ni kutoka kapa msimu huu.
Kabla ya EPL kuanza , niliwatangazieni kuwa hamtamaliza ndan ya top 6

Mkikaza sana ,yaan hapo kina Zuma wamejitolea , kina jirud wamepambana kweli kweli bas ni nafas ya 8.

Mkiendelea na ujinga wenu ,wa kugawana point na kina shefflied , basi Maneno yangu yatatimia kuwa mtamaliza nafas ya 10-15

Nashangaa Mashabik wa Chelsea wenye roho ya kirasta kuamini mtamaliza ndan ya top 6, maana top 4 siwaweki ,maana hata Leicester ,Everton hamuwez kumaliza juu yao
 
Hivi umeshawahi kupost kitu Mimi nikakuattack?
Mimi napenda sana kudebate kwa mtu yeyote humu pale anapopost kitu ambacho kinahitaji clarification! Lakini imekuaje Siku za hivi karibuni unaanza kuniattack kwa kila ninachopost?

Kama unahisi huridhishwi na kuepo kwangu humu kwenye Uzi ni bora ukani-ignore tu brother lakini sio wanaume wazima kuanza kufanyiana wivu.

Mimi mbona kila Mtu namuachia Uhuru wa kupost anachopenda? Bali nitamchallenge tu kwakile ninachohisi kina changamoto ndani Yake?

Brother kama unahisi naadika pumba nipotezee na pumba zangu tu.
Sawa mkuu
 
Told #LFC have no plans to open talks with Virgil van Dijk's representatives over a new contract.

Understand the Reds No.4 is bemused by new £200,000-a-week claims over the weekend.
as long as he under long contract he will to continue with us then at some point he will sign extention...if he do sign to remain with us that mean he will most likely retire with us and become club legend after winning many trophies...mpaka sasa ana mawili Supercup and baba yao UCL...
 
Watani zetu wa Nyanda za Juu waliozoea kuongoza kwa kila kitu wajiangalie sana na Mwenendo wao!

Liverpool yaongoza kwa kujikusanyia Mapato ya TV msimu wa 2018/19 kuliko Timu yoyote ile Barani Ulaya na Duniani kwa ujumla kwa kujikusanyia £152m

Naona wamekuwa wa 5 kwa mapato! Wamepitwa na hata Spurs
 
Katika poll inayoendeshwa na Echo kuhusu Best signing ya Klopp

1) Alisson

2) Sadio Mane

3) Andy Robertson

4) Mohamed Salah

5) Virgil van Dijk

Kwa sababu zangu mwenyewe nimemvote ALISSON kuwa ndiyo best signing ya Klopp

Najua wengi wanamuangalia kuwa ni VVD, but kwangu (my view) Alisson atabaki ndiyo Klopp's best signing ever.
 
Huu uongo mzee. Ujerumani baki alisimama VVD,
Huwezi kumuuza beki kipindi hiki hapa, hizo si fikira nzuri, siku zote mpira lolote laweza kutokea, wakati tunacheza na buyern kule Germany VVD alikuwa suspended, Gomez alikuwa kitandani, matip kitandani, pale nyumba alisimama Lovren na Fabihno, buyern akala 3 kwa 1, leo hii ww unapambana lovren auzwe wakati hatujasajiri mwingine, ikitoke injury au suspension kati ya hao watatu waliopo twafanyaje? Jaribu kufikiria sawa sawa ndg yangu Gwaba
 
Liverpool have no imminent plans to open talks over a new contract with Virgil van Dijk

IMG_5892.JPG
 
Watani zetu wa Nyanda za Juu waliozoea kuongoza kwa kila kitu wajiangalie sana na Mwenendo wao!

Liverpool yaongoza kwa kujikusanyia Mapato ya TV msimu wa 2018/19 kuliko Timu yoyote ile Barani Ulaya na Duniani kwa ujumla kwa kujikusanyia £152m

Naona wamekuwa wa 5 kwa mapato! Wamepitwa na hata Spurs
ni mwanzo tupo kwenye ryt trak...
 
Watani zetu wa Nyanda za Juu waliozoea kuongoza kwa kila kitu wajiangalie sana na Mwenendo wao!

Liverpool yaongoza kwa kujikusanyia Mapato ya TV msimu wa 2018/19 kuliko Timu yoyote ile Barani Ulaya na Duniani kwa ujumla kwa kujikusanyia £152m

Naona wamekuwa wa 5 kwa mapato! Wamepitwa na hata Spurs
Aha upotoshaji mkuu
 
Back
Top Bottom