Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,691
Kabla ya EPL kuanza , niliwatangazieni kuwa hamtamaliza ndan ya top 6Objective ya ARSENAL ni kutoka kapa msimu huu.
Mkikaza sana ,yaan hapo kina Zuma wamejitolea , kina jirud wamepambana kweli kweli bas ni nafas ya 8.
Mkiendelea na ujinga wenu ,wa kugawana point na kina shefflied , basi Maneno yangu yatatimia kuwa mtamaliza nafas ya 10-15
Nashangaa Mashabik wa Chelsea wenye roho ya kirasta kuamini mtamaliza ndan ya top 6, maana top 4 siwaweki ,maana hata Leicester ,Everton hamuwez kumaliza juu yao