Point kubwa ni #LFC ana kikos finyu chenye wachezaj wachache wanaojua sana na hao ndio mala nying wapo first eleven mbadala wa hao wachezaj hawako vzur sana...

Lkn man city ana toka mtu anaingia mtu,

So kinachotukwamixha ni mKuchoka kwa wachezaj kwasababu league ina game nyng inatakiwa wachezaj wawe fit mala nying...

Sasa man cty anawachezaj wengi wazur na bado tuna compite kiasi hiki means tukiwa fit bas tunachukua.

Ukitaka kujua liverpool yuko vzur kipimo ni uefa (finalist back to back)

Wakat huo man cty hola.

Mchoko wa liver ndio unatuangusha epl ndio maana klopp saiv anafanya mzunguko wa wachezaj.

Gomez saiv anatokea bench, mane ana pumzxhwa dakk za 70, na kukumbuxha keita karud mazoezin.

#nikosoe nijifunze zaid
Mkuu Forward hapo hamna rotation maana mtu anaepumzishwa dk ya 70 hiyo sio rotation
 
Wiki hii nilikuwa naangalia highlights na marudio ya baadhi ya full games karata yangu mapema naitupia Anfield na kikosi chetu finyu bado nina matumaini makubwa ya PL trophy

Kwa kuwa msimu huu kuna mapumziko ya 2 weeks January & Feb sina hofu napo
kwanza nashukuru kwa updates sikujua ile snow break inaanza msimu huu hakika hapo nina imani hatupoteani wala kulaumu upepo au barafu ni nyingi uwanjani....

kuanzia gemu ya Vs the Ganaz na hii ya vs Burnley kikosi kimenipa sana imani tuedako ni pazuri....
 
Kwann alidraw na tot...
Mpira hauko hvyo unavyosema,

Man city kwa liverpool anapata wakati mgumu sana kushinda kama unafatilia

Pia man united mtoe katika kumzuia liverpool,
Misimu miwili kwenye ligi
man city na liverpool
Nani yupo juu ya mwenzake kwa takwimu hizi. 2017/18 na 2018/19 ( man city alibeba ndoo )
2000.png
 
Midfielders za England

1) Declan Rice
2) Ros Barkley
3) Madison
4) Henderson
5) OX (from long term injury)

Hapo ndiyo pa kujisifu anapendwa?
Hebu waangalie hao anaoshindana namba nao yupi hapo kati yao unayeweza kusema mchezaji wa maana?

Hapo ni kuwa mwenye Makengengeza kamzidi mwenye chongo tu lakini wote wabovu.

Kwa kikosi hicho Hendo atacheza kila dakika Coz ni Kikosi cha wachezaji wa Kawaida sana ambao yeye atakuwa kama Messi.
kwa Maddison ndugu nasema sio wa kawaida japo sio proven in big stage pale Foxes anafanya vyema sana the boy has talent....

najiuliza kilichomzuia Klopp kumpata huyu ndogo and he did show interest at some tym baadae akachomoa...
 
Wenger to Bobby, Salah & Mane

Arsene Wenger perfectly describes how it is “difficult to find” a striker like Roberto Firmino

“I like [Salah] very much, he has huge potential, and Mane as well,” the Frenchman

“But you forget a little bit, the guy who sacrifices himself is Firmino.

“This piece of the jigsaw is always very difficult to find: a striker who is generous.”

By contrast, Wenger praised Salah in comparison with Lionel Messi, but argued that the Egyptian is “obsessed” with scoring, and would become a more well-rounded player with age.

“He’s 20 goals away [from Messi] basically, if you want to be as concrete as possible,” he continued.

“He has similarities with Messi, [but he] must find the consistency of Messi.

“He’s as good a finisher, but Messi has the complete thing, he gives the final ball as well, and Salah is a bit obsessed now with finishing himself.

“It’s a dimension that you get, certainly, when you grow a little bit older, to find the moment when you have to give the ball and when you have to finish.”
Profesor Wenger has nailed its...Bobby is the system

fingers clossed....he will come better with AGE...so haya ya Burnley tutaedelea nayo na tuwe wavumilivu....

Messi might be retiring at Barca 2022-2023 naona hawa Catalans wakituletea mpunga wapate like for like replacement
 
kwa Maddison ndugu nasema sio wa kawaida japo sio proven in big stage pale Foxes anafanya vyema sana the boy has talent....

najiuliza kilichomzuia Klopp kumpata huyu ndogo and he did show interest at some tym baadae akachomoa...

Klopp hajakataa kusaini bali Bodi inayoongozwa na Mmiliki haikutenga bajeti yoyote ya usajili Mkubwa au wa kawaida wala Klopp hakuwatia pressure yoyote juu ya kutenga bajeti ndiyomana hatukusajili.
 
Profesor Wenger has nailed its...Bobby is the system

fingers clossed....he will come better with AGE...so haya ya Burnley tutaedelea nayo na tuwe wavumilivu....

Messi might be retiring at Barca 2022-2023 naona hawa Catalans wakituletea mpunga wapate like for like replacement

Nilipopitia maelezo yake kuna kasehemu amesema kuwa Bobby ana consistency throughout the year

Nilisema dah! Huyu Mzee Wetu Wnlenger hajajua kuwa inapofika Jan-Feb syndrome pia na Bobby anapotea mpaka tukamtamani Adam Salamba aje amsaidie?

Yani hii miezi miwili (Jan - Feb) natamani ligi ingekuwa inasimama katika kipindi hichi.
 
Midfielders za England

1) Declan Rice
2) Ros Barkley
3) Madison
4) Henderson
5) OX (from long term injury)

Hapo ndiyo pa kujisifu anapendwa?
Hebu waangalie hao anaoshindana namba nao yupi hapo kati yao unayeweza kusema mchezaji wa maana?

Hapo ni kuwa mwenye Makengengeza kamzidi mwenye chongo tu lakini wote wabovu.

Kwa kikosi hicho Hendo atacheza kila dakika Coz ni Kikosi cha wachezaji wa Kawaida sana ambao yeye atakuwa kama Messi.
Kikosi cha kawaida kinacho fika nusu final ya WC?
Messi hakufika hatua waliyo fikia England na huyu huyu Hendo ktk WC
Mido ambazo unaziona bora kwa Hendo kazipiga CL tena akianza mechi zote muhimu
 
Nilipopitia maelezo yako kuna kasehemu amesema kuwa Bobby ana consistency throughout the year

Nilisema dah! Huyu Mzee Wetu Wnlenger hajajua kuwa inapofika Jan-Feb syndrome pia na Bobby anapotea mpaka tukamtamani Adam Salamba aje amsaidie?

Yani hii miezi miwili (Jan - Feb) natamani ligi ingekuwa inasimama katika kipindi hichi.
Acha upotoshaji mkuu
 
hahaha nadhani alimaanisha Bobby consistency ya kutokua mbinafsi mwanzo mwisho....
 
Klopp hajakataa kusaini bali Bodi inayoongozwa na Mmiliki haikutenga bajeti yoyote ya usajili Mkubwa au wa kawaida wala Klopp hakuwatia pressure yoyote juu ya kutenga bajeti ndiyomana hatukusajili.
sasa huyu ndogo dirisha lijalo June itakua moto sana kwake Manciti watahitaji ku replace Silva na this UK wizard fit thier bill na pia Manu walimchungulia but hawaku react pengine watamrudia....

Kama Maguire kauzwa kwa £80m basi huyu ndogo itakua £50+...

yajayo yanafurahisha..
 
Acha upotoshaji mkuu

Hivi umeshawahi kupost kitu Mimi nikakuattack?
Mimi napenda sana kudebate kwa mtu yeyote humu pale anapopost kitu ambacho kinahitaji clarification! Lakini imekuaje Siku za hivi karibuni unaanza kuniattack kwa kila ninachopost?

Kama unahisi huridhishwi na kuepo kwangu humu kwenye Uzi ni bora ukani-ignore tu brother lakini sio wanaume wazima kuanza kufanyiana wivu.

Mimi mbona kila Mtu namuachia Uhuru wa kupost anachopenda? Bali nitamchallenge tu kwakile ninachohisi kina changamoto ndani Yake?

Brother kama unahisi naadika pumba nipotezee na pumba zangu tu.
 
Kikosi cha kawaida kinacho fika nusu final ya WC?
Messi hakufika hatua waliyo fikia England na huyu huyu Hendo ktk WC
Mido ambazo unaziona bora kwa Hendo kazipiga CL tena akianza mechi zote muhimu

Key points:
√ Hendo kafika Semi Final WC while Messi hakufika
√ Mido ya Hendo imebeba CL msimu huu while Messi hakubeba

CONCLUSION: According to Key points Hendo ni bora kuliko Messi
Nakubaliana Nawewe
 
123 Reactions
Reply
Back
Top Bottom