tutakumbaliana hakuna forward asiemchoyo, those boys wapo Reds kwa ajira kila goli linakuja na bonous ya mkwaja na kadhalika...

kazi ya forward ni kufunga na si kngine, kutengeza nafasi ya kufunga kwa wengine hio ni baada ya kuona hawezi kufunga...tatizo linaanzia pale ambapo aidha huyo forward nafasi zote mpaka zile ngumu anataka afunge yeye na kwa hili Salah ndio kinara...

Namkumbali Firmino cz uchoyo kwake umempitia mbali kimtindo...how he connect unselfishly wt those Salah n Mane is just amazing...
Manebkamfundisha Salah uchoyo mpaka kawa mwalimu.
Firminho pekeake ndo anacheza kwa ajili ya team ila hao wawili wanashindana wao tu tea baadae.

Namuombea mema boby
 
Huyu kocha sera yake kuhusu kumintegrate mtoto yeyote wa Academy ni mpaka mchezaji wa first team apate majeruhi ambacho ni kitu naona cha ajabu
Kaniboa sana kaniaminisha Brendan anajiamini kuliko yeye.

Totenham inamzunguuko mkubwa wa wachezaji kuliko sisi sababu mwalimu amekua akiwatumia kwa namana ajuavyo huyu kila siku mane tuuu tukija poromoka break hazita saidia.
 
Transfer news.
Dejarn Lovren has agree on €3 ml per year deal with As Roma.
He is to undergo wage reduction should the move be completed.
Liverpool set €15ml asking price which may rise up to €20ml with bonuses.
Report suggests As Roma offered a loan move with a buyout option.
Hii dili itiki badala yake amrudishe dogo philips ajimfuzi kwa wanao cheA
 
Ustadhi kaonekana butcher kwenye sikukuu ya kuchinja
IMG_20190813_214037_285.jpeg
IMG_20190813_214100_238.jpeg
 
Mkuu kwasasa kupata Combo ya RIO-VIDIC sio jambo rahisi, Ukiwa na Rudiger basi mweziwe ni Christensen, Ukiwa na Maguire basi mwenziwe atakuwa Lindelof, Ukiwa na VVD basi mwenziwe ni MATIP/GOMEZ.

Kwahiyo kupata Mabeki wawili wenye uwezo sawa kama wa VVD kwenye timu moja sio jambo rahisi.

Mmoja akiwa ni Super Strong mwengine awe Strong tu.

Gomez akigain full Fitness hizo errors zote unazoziona zinafichika.
Wenye CB wazuri wapo mfano Real Madrid, Atletico Madrid, Juventus, Manchester city, Tottenham Hotspur etc
 
Mkuu Southern Highland kwema...duh kwa staili hii huyu kesho atakufungeni...

Kimaro na Ollachuga wape hae sanaa n wape pole kwa kipigo
Kwakile kilichotokea OT sitegemea maajabu zaidi. Naacha dakika 90 ziamue sina expectations za kufanya vizuri wala vibaya wacha vijana wapate experience.
Hapo anachukuwa mazoezi ya kuja kuwachinja Chelsea Ndani ya Instambul ambapo our Greatest Captain ever amewachinja AC Milan.
 
123 Reactions
Reply
Back
Top Bottom