kuanzia keshokutwa (Wednesday) usiku kuna possibility hii table hapa chini itakuwa na muonekano tofauti kidogo (1st row last column itasomeka 43 ilihali second row first column itasomeka 2).

by December, first row last column inaweza kuwa inasomeka 44.

this is LFC!!

View attachment 1179340
hehehe imekaa Reds heading back to the summit where we belong...we rule UK others follow..
 
Hao Matip na Gomez wana makosa makosa mengi sana ambayo yana translate to goals to concede
on the spot very soon humu humu tutaelewana jamaa...japo naamini kabisa Klopp kashaona hayo mapungufu na wanayafanyia kazi...

kuna kipindi TAA anasahau yeye sio AM mbali ni RB maana kuna kipindi ndogo huwa ana switch off na anakua caught out of position sasa kwa EPL ndio balaa wakishajua udhaifu huo mipira yote itapitishwa kwake case study Vs Manciti Wembley walijaribu sana kum expose ndogo mpaka Klopp akamtoa...
 
Spurs nao watafanya makubwa tu subiri uone

Beki ya Matip na Gomez ndio itupe EPL really?

Ngoja tuone

Binafsi sijaona sababu za msingi za kwa nini hatujatumia hela za kutosha kusajili dirisha lililofungwa juzi
sasa bora hao ndugu angalau wata rotate ishu ni pale majeruhi LB na RB ilitokea sielewi Klopp amejipanga aje ku deal na hio vacuum...

Spurs ukweli wamesajili vyema na hio kwetu ni challenge...

Manciti kaanza alikoishia last season...

Manu hawa kila msimu huanza kwa bwebwe na ushindi kama wote, endapo Shaw, Wes, Maguire watabaki bila majeruhi naiona Manure wakianza kuleta challenge kwetu na citi...

Ganaza kikosi chao hata bila usual 1st 11 wametoka na ushindi St James ina maaana sio wakiwabeza...

kila nikitazama naona msimu huu utakua ni mtihani kweli kweli kwa sisi Majogoo...
 
Ninajiamini na uwepo wa Andrian golini.
Ni jambo jema mignolet hayupo hapa presha ingekua juu sana ila andrian namuelewa sana.
YNWA
Andrian is well covered...at his age he should be at his prime...
kuvaa ule uzi peke yake demands Adrian to step up his game and not othetwise...

he said he is ready to push Allison n fill up that position when called upon...now its his tym to prove David wa Hammers that he ws th right deal...
 
Mane ndio huwa mchoyo sana Mo wanamuonea tu
tutakumbaliana hakuna forward asiemchoyo, those boys wapo Reds kwa ajira kila goli linakuja na bonous ya mkwaja na kadhalika...

kazi ya forward ni kufunga na si kngine, kutengeza nafasi ya kufunga kwa wengine hio ni baada ya kuona hawezi kufunga...tatizo linaanzia pale ambapo aidha huyo forward nafasi zote mpaka zile ngumu anataka afunge yeye na kwa hili Salah ndio kinara...

Namkumbali Firmino cz uchoyo kwake umempitia mbali kimtindo...how he connect unselfishly wt those Salah n Mane is just amazing...
 
ALLISON OUT FOR FEW WEEEKS...(MY GUESS 6 WEEKS...)

In the meantime this is what will happen in his abscence...

Klopp has now confirmed the club will sign free agent Andy Lonergan on a short-term basis to provide back-up to Adrian, with the former Middlesbrough player "likely" to be on the bench for their UEFA Super Cup tie against Chelsea on Wednesday.

"Of course we have to find a solution in the short term and that will be, if nothing happens from now to then, Andy Lonergan," Klopp said.

He was in with us, he's a brilliant character, a really nice lad and helped us a lot in the pre-season and now we decided to work together with him.

"So that's a very experienced solution but in the moment when Caoimhin Kelleher is back then obviously Adrian is No 1, Caoimhin probably No 2 but we have to see how then he can have some games with the U23s or U21s [so] that he gets match practice as well.

"We have to see how that works but that's then how we cover that situation."
 
vipi kuhusu Mo Salah, Firmino, Sadio Mane ikiwatokea?
nao hawajapumzika, tuombe Mungu arejee
Hawa at least mechi kadhaa hawakuwa wanamaliza,wanatoka baada ya halftime
Alson kacheza mechi zote 38 kwa dakika 90
Kacheza mechi zote UCL dakika 90
kacheza mechi za Brazil dakika 90 na zingine dakika 120
Alihitaji sana kupumzika
 
on the spot very soon humu humu tutaelewana jamaa...japo naamini kabisa Klopp kashaona hayo mapungufu na wanayafanyia kazi...

kuna kipindi TAA anasahau yeye sio AM mbali ni RB maana kuna kipindi ndogo huwa ana switch off na anakua caught out of position sasa kwa EPL ndio balaa wakishajua udhaifu huo mipira yote itapitishwa kwake case study Vs Manciti Wembley walijaribu sana kum expose ndogo mpaka Klopp akamtoa...
Ni shida
 
sasa bora hao ndugu angalau wata rotate ishu ni pale majeruhi LB na RB ilitokea sielewi Klopp amejipanga aje ku deal na hio vacuum...

Spurs ukweli wamesajili vyema na hio kwetu ni challenge...

Manciti kaanza alikoishia last season...

Manu hawa kila msimu huanza kwa bwebwe na ushindi kama wote, endapo Shaw, Wes, Maguire watabaki bila majeruhi naiona Manure wakianza kuleta challenge kwetu na citi...

Ganaza kikosi chao hata bila usual 1st 11 wametoka na ushindi St James ina maaana sio wakiwabeza...

kila nikitazama naona msimu huu utakua ni mtihani kweli kweli kwa sisi Majogoo...
MUFC wanakazaga sana big match halafu timu ndogo zinawatoa kamasi

Na Spurs nae anaweza kuwa katika horse race this time
 
tutakumbaliana hakuna forward asiemchoyo, those boys wapo Reds kwa ajira kila goli linakuja na bonous ya mkwaja na kadhalika...

kazi ya forward ni kufunga na si kngine, kutengeza nafasi ya kufunga kwa wengine hio ni baada ya kuona hawezi kufunga...tatizo linaanzia pale ambapo aidha huyo forward nafasi zote mpaka zile ngumu anataka afunge yeye na kwa hili Salah ndio kinara...

Namkumbali Firmino cz uchoyo kwake umempitia mbali kimtindo...how he connect unselfishly wt those Salah n Mane is just amazing...
Namba hazidanganyi sasa kaangalieni Mane na Mo nani ana assist chache
 
Hao Matip na Gomez wana makosa makosa mengi sana ambayo yana translate to goals to concede

Mkuu kwasasa kupata Combo ya RIO-VIDIC sio jambo rahisi, Ukiwa na Rudiger basi mweziwe ni Christensen, Ukiwa na Maguire basi mwenziwe atakuwa Lindelof, Ukiwa na VVD basi mwenziwe ni MATIP/GOMEZ.

Kwahiyo kupata Mabeki wawili wenye uwezo sawa kama wa VVD kwenye timu moja sio jambo rahisi.

Mmoja akiwa ni Super Strong mwengine awe Strong tu.

Gomez akigain full Fitness hizo errors zote unazoziona zinafichika.
 
Transfer news.
Dejarn Lovren has agree on €3 ml per year deal with As Roma.
He is to undergo wage reduction should the move be completed.
Liverpool set €15ml asking price which may rise up to €20ml with bonuses.
Report suggests As Roma offered a loan move with a buyout option.

Huyu akiondoka ni moja ya best news ever
 
IMG_6030.JPG
 
Back
Top Bottom