Halafu wanafuatiwa na yule wa mwisho katika matumizi ya pesaWaliotumia hela nyingi kwenye usajili ndo hao wanaoongoza ligi kwa hii mechi ya kwanza
Press yake ya kwanza as Liverpool Manager alisema ndani ya miaka mitatu tu atakuwa kachukua EPL
Spurs nao watafanya makubwa tu subiri uoneHalafu wanafuatiwa na yule wa mwisho katika matumizi ya pesa
Chelsea wanapaswa kuchukua hatua za makusudi haraka sana wamfukuze huyo chalii kabla ya September
Mumewafunga wavimba macho walipanda daraja hawajafanya usajili wowote ule mna leta kelele apa. Subiri tukuoneshe mpira jumapili.
Man united 1-3 Chelsea.
Spurs nao watafanya makubwa tu subiri uone
Beki ya Matip na Gomez ndio itupe EPL really?
Ngoja tuone
Binafsi sijaona sababu za msingi za kwa nini hatujatumia hela za kutosha kusajili dirisha lililofungwa juzi
Acheni uongo mpira unachezwa hadharani na sisi tunaona pia,Dah, bro I wanted to write the same. Mane mchoyo mno,
HII NI KUJIPA UNNECESSARY PRESSUREI don't like the sound of this at all.
historically, this has never been our (LFC's) mentality with the stature our club is in at present. Wembley used to be called by the Liverpudlians "the second Anfield" due to the regularity at which our team featured in the finals of these domestic cup competitions.
but hii yote ni kutokana na ubahiri wa hawa Yankees kutopanua kikosi kwenye summer.
View attachment 1178403View attachment 1178404
Nazani umemkumbusha vzr sana ni kweli wametuonyesha mpira janaHongera sana
spot on!Mkuu Mabeki wetu (VVD, Matip na Gomez) wana uwezo Mkubwa sana kinyume na unavyodhania.
Tatizo kwa muda huu nikwamba Gomez bado hajapata match fitness kutokana na kukaa nje na majeruhi kwa muda mrefu tu.
Lakini baada ya kama michezo Minne tu basi atarudi kwenye ubora wake.
Na kuhusu Matip ni moja ya mabeki wazuri kabisa pale EPL naweza kisema anazidiwa na Laporte, Maguire, VVD, Gomez (Akiwa Fit) na Otamendi tu.
Hata last season kacheza uzuri sana tu.
Kwahiyo kwenye Defence hatuna tatizo, bali kwasasa tatizo lipo kwenye Midfield na kuumia kwa Alisson.
Kwahiyo sisi bado msimu huu tuna nafasi kubwa zaidi kushindania EPL kama hatutopata injuries kwa Key players wetu.
Na muhimu OX na Keita waweze kurudi katika Fomu ili waongeze kitu kwenye Midfield yetu.
vipi kuhusu Mo Salah, Firmino, Sadio Mane ikiwatokea?Keeper Al Becker atakaa nje kwa couple of weeks
Keeper wetu hakupumzika vya kutosha,katoka EPL kaenda final ya UCL kaenda Brazil mashindano ya mabara
Kakaa weeks 2 karudi Liverpool kaanza tena kucheza
Ni matumaini yetu wkt anauguza huu mwezi atapumzika vya kutosha
Hao Matip na Gomez wana makosa makosa mengi sana ambayo yana translate to goals to concedeMkuu Mabeki wetu (VVD, Matip na Gomez) wana uwezo Mkubwa sana kinyume na unavyodhania.
Tatizo kwa muda huu nikwamba Gomez bado hajapata match fitness kutokana na kukaa nje na majeruhi kwa muda mrefu tu.
Lakini baada ya kama michezo Minne tu basi atarudi kwenye ubora wake.
Na kuhusu Matip ni moja ya mabeki wazuri kabisa pale EPL naweza kisema anazidiwa na Laporte, Maguire, VVD, Gomez (Akiwa Fit) na Otamendi tu.
Hata last season kacheza uzuri sana tu.
Kwahiyo kwenye Defence hatuna tatizo, bali kwasasa tatizo lipo kwenye Midfield na kuumia kwa Alisson.
Kwahiyo sisi bado msimu huu tuna nafasi kubwa zaidi kushindania EPL kama hatutopata injuries kwa Key players wetu.
Na muhimu OX na Keita waweze kurudi katika Fomu ili waongeze kitu kwenye Midfield yetu.
Huyu kocha sera yake kuhusu kumintegrate mtoto yeyote wa Academy ni mpaka mchezaji wa first team apate majeruhi ambacho ni kitu naona cha ajabuTusijipe moyo na hii tim ya wachezaji 15 tu.
Kwangu mimi ni udhaifu mkubwa unongoza 4 mechi na Norwichi unamuingiza Milna na Mane ambae hata mazoezi hajafanya ni sawa hii?
Tusitegemee chipukizi yoyote kufanikiwa baadabya wale waliotumika na Brendan Rogers