Players IN:

Sepp van den Berg – PEC Zwolle – £1.3 million

Harvey Elliott – Fulham – Tribunal TBD

Adrian – West Ham – Free Transfer

Spent: £1.3m

Players OUT:

Simon Mignolet – Club Brugge – £6.4 million

Rafa Camacho – Sporting CP – £7 million

Danny Ings – Southampton – £20 million

Alberto Moreno – Villarreal – End of contract

Daniel Sturridge – End of contract

Connor Randall – End of contract

Adam Bogdan – End of contract

George Johnston – Feyenoord – £300k

Received: £27.3m

Kwa ujumla dirisha hili kupitia Usajili tmeingiza mapato ya £26m
 
Norwich vibonde kwakuwa wamefungwa na Liverpool?

Natumai nanyinyi mutacheza nao lakini uniquote kama kunikumbusha siku mutakayochezanao ili niifatilie game
Tafuta uchambuzi kwa wanaoijua vizuri Nor, ktk EPL ndio timu yenye uzembe wa kijinga jinga na jana kwenye goli la kwanza tu ilijionyesha hiyo.

BT Sport kwa kutumia script yao advanced ya kupredict matokeo na position ya timu za EPL mwishoni mwa msimu wamekuja na prediction hii kwa ligi nzima na wameiweka Norwich City mojawapo ya timu zitakazokumbwa na relegation

bt-script-of-the-season-full-premier-league-table-jpg.1172776
 
Tafuta uchambuzi kwa wanaoijua vizuri Nor, ktk EPL ndio timu yenye uzembe wa kijinga jinga na jana kwenye goli la kwanza tu ilijionyesha hiyo.

BT Sport kwa kutumia script yao advanced ya kupredict matokeo na position ya timu za EPL mwishoni mwa msimu wamekuja na prediction hii kwa ligi nzima na wameiweka Norwich Cioty mojawapo ya timu zitakazokumbwa na relegation

bt-script-of-the-season-full-premier-league-table-jpg.1172776

Kumbe ni utabiri tu?

Halafu utabiri wote naona umebase na position za last season kwa asilimia 90% kama sio 95%.

Nakuhakikishia Man United anaingia Top Four, Na nakihakikishia Chelsea haingii Top Four.

Mpaka hapo Hao BT Sport utabiri wao wameingia chaka.

Nimeyaandika haya kwa kuzingatia (Only Top 6):

1) Uwezo wa wachezaji binafsi kwenye timu.
2) uatayari wa wachezaji kujitoa kwa timu.
3) Uwezo wa kocha

Chelsea munajifanya kutoona athari ya kuondoka Hazard lakini time will tell.

Tuliona wazi Hazard alipowapa matokeo katika Mazingira magumu kwa jitihada zake binafsi either kwa kufunga au kutengeneza nafasi/Kuassist.

Lakini msimu huu ndiyo awavuushe aabraham? Jiroud? Au Barkley?

Mkuu hamuna timu acheni kujidanganya.

Huyo Luiz muliyemdharau pengo lake mutalililia na Zouma wenu.
 
Kwani hii discussion ilihusu Chelsea na Hazard au umepata pa kutapikia?
 
Mwisho wa Msimu napenda kuwainvite washabiki wenzangu tuhesabu nani mwenye Assists nyingi katika kikosi chetu ili tujaudge nani ni true selfish.

Salah:
1 goal
1 assist
Means contributes 2 goals

This men is known as selfish and average even Bobby and Mane are ahead of him.
 
Initial fears for Alisson Becker is that he will be out for 4-6 weeks. Indications that he has torn his calf. If lay-off is to longer end of the scale, he could miss first Champions League group game in September
 
Ni sifa poa kama kila mpira unafunga ila sifa ya kijinga kama anakosa mahala anapoweza kuacha mpira mwingine afunge ama ku-assist

Labda kama analipwa bonus kubwa kwenye magoli, I'll appreciate that

Ni uchoyo tu and it has no excuse, he should put his team first before individual accolades.
 
Joseph Gomez: "Nothing's been said (about who's first choice). Every week we have to play for our place, none of us are guaranteed a place in the starting XI."
 
cant say otherwise....kwanza nyuma tuna depth in central position meaning the gaffer can choose from Matip/Gomez to partner VVD...

hapa ni kumuombea Becker the Golden Gloves Winner last season apone mapema
 
"Virgil van Dijk was as imperious as ever at centre back but there were questions over Alexander-Arnold’s positioning, and whether Joe Gomez really is a better partner for Van Dijk than Joel Matip"
 
123 Reactions
Reply
Back
Top Bottom