Depth huwa zinatengenezwa na makocha Gaudiola aliacha depth Bayen sasa hivi ipo?
Pep alikuta kuna core pale Bayern.... akajazia nyama anazotaka. hata ManCity ilikuwa vivyo hivyo.
Klopp alikuta magarasa Anfield - ambayo leo ninyi wenyewe hapo hadi mnataka yaumie ili eti yasipangwe. ridiculous mentality!!

baadhi ya fans wa LFC sometimes huwa nashindwa kujua mnachokitaka kwa kweli. I think it's to do with maturity (or lack of one).
 
Wanaotaka kumtukana Klopp na wachezaji najua wameumia sana na draw hii!
Liverpoool feki hadi mimacho itawavimba mwaka huu!
Liverpoool HALISI hapa tuzidi shikamana tuwaache hao wanao ombea hadi wachezaji wetu waumie,
Feki Liverpoool hawana hamu tena

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongereni halisi mtatumia nguvu ndogo kuvuka
 
Nafatlia huku kuhakikisha man city anawachukuaView attachment 1046150

Vipi kiongozi naona kibao kimegeuka kwako?

Ulikuwa ukitupangia Barcelona usiku na Mchana hatimae kakudondokea wewe.

Sasa mtoe Barca ili tukutane kwenye semi.

Lakini Barca akikutoa basi tutamsubiri yeye kwenye semi halafu aje atuingizie Coutinho aone mziki wetu.
 
Pep alikuta kuna core pale Bayern.... akajazia nyama anazotaka. hata ManCity ilikuwa vivyo hivyo.
Klopp alikuta magarasa Anfield - ambayo leo ninyi wenyewe hapo hadi mnataka yaumie ili eti yasipangwe. ridiculous mentality!!

baadhi ya fans wa LFC sometimes huwa nashindwa kujua mnachokitaka kwa kweli. I think it's to do with maturity (or lack of one).
Tuna njaa ya makombe ndo tunayo taka yaletwe hata na hao magalasa tutashangilia.

Tunaomba yaumie sababu yapo mda mlefu hayaleti ushindi tunashangaa wamekuja wachezaji wa maana hawapangwi asa si bola yaumie tu juzi si umeona mwenyewe tofauti
 
Thats the nicest draw possible.

We can play Hendo/Lovren/Lallana/Moreno/Migs etc and win with ease.

Dont try to put pressure on yourself. Will be nothing but a statpad session.

A very nice draw.

We couldnt ask for more. Be happy.
Kwa macho na akili za kawaida unaweza kuona kama Fc Porto ni timu ya kawaida! Fc Porto ni moja ya timu kubwa na bora ulaya. Ki uwezo uwanjani wapo sawa na liverpool. Kwangu nategemea game ngumu na yenye ushindani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kiongozi naona kibao kimegeuka kwako?

Ulikuwa ukitupangia Barcelona usiku na Mchana hatimae kakudondokea wewe.

Sasa mtoe Barca ili tukutane kwenye semi.

Lakini Barca akikutoa basi tutamsubiri yeye kwenye semi halafu aje atuingizie Coutinho aone mziki wetu.
 
TBH sijawahi kufuatilia kujua nani ni nani hapa i truly enjoy the company and opinions. So sijui kama kuna mgawanyiko hapa, may be ni juu huwa nakuja na kupotea. Ila pamoja na hivo.. Let's stick together

No one divided people in different classes here except him who claimed himself to be 'Liverpool Halisi' , No one care though..

All of us in this thread are Liverpool's Fans regardless our different opinions..

The self claimed Liverpool Halisi thinks He is true Liverpool Fans, and others not real.

I believe there are no groups in this thread

All we are Reds

The so called HALISI is ignored in my list and now can't see his mental disorder
 
So it's Liverpool vs Barca/Man United in the semis..
IMG-20190315-WA0027.jpeg
 
No one divided people in different classes here except him who claimed himself to be 'Liverpool Halisi' , No one care though..

All of us in this thread are Liverpool's Fans regardless our different opinions..

The self claimed Liverpool Halisi thinks He is true Liverpool Fans, and others not real.

I believe there are no groups in this thread

All twe are Reds

The so called HALISI is ignored in my list and now can't see his mental disorder
Underlined man.. Won't say no more.
 
Kwa macho na akili za kawaida unaweza kuona kama Fc Porto ni timu ya kawaida! Fc Porto ni moja ya timu kubwa na bora ulaya. Ki uwezo uwanjani wapo sawa na liverpool. Kwangu nategemea game ngumu na yenye ushindani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasiku zote usiidharau timu iliyofika hatua hii, mpira unamambo mengi ikiambatana na bahati pia,kumbuka mdharau mwiba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna njaa ya makombe ndo tunayo taka yaletwe hata na hao magalasa tutashangilia.

Tunaomba yaumie sababu yapo mda mlefu hayaleti ushindi tunashangaa wamekuja wachezaji wa maana hawapangwi asa si bola yaumie tu juzi si umeona mwenyewe tofauti
vipi tuliposhinda vs PSG na vs Napoli.... nani alicheza?
 
My prediction for uefa champions league quarter final draw...

LIVERPOOL vs PORTO
MANCITY VS JUVE
BARCELONA VS MAN UNITED
TOTNHAM VS AJAX

Sent using Jamii Forums mobile app
Ratiba haijaenda mbali na nilichotabiri,wasiwasi wangu tusiwabeze Sana Porto coz nakumbuka hata mwaka Jana gemu ya Roma ilikuwa ngumu kuliko hata ya man city..hizi timu zinazochukuliwa poa huwa zinaingia kwenye mechi zikiwa hazina Cha kupoteza so zinajimwaya Mwaya Sana uwanjani....TUENDELEE KUSHIKAMANA MAMBO MAZURI YAPO MBELE.

IN KLOPP WE TRUST
#YNWA#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaotaka kumtukana Klopp na wachezaji najua wameumia sana na draw hii!
Liverpoool feki hadi mimacho itawavimba mwaka huu!
Liverpoool HALISI hapa tuzidi shikamana tuwaache hao wanao ombea hadi wachezaji wetu waumie,
Feki Liverpoool hawana hamu tena

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona mnakuwa km wanasiasa wa tanzania wa siku hizi??? Mana wao kila anaeonekana kuwa na maoni tofauti watasema huyo katumwa na mabeberu!! This is football men, kila mmoja anatoa mawazo kwa jinsi anavoutazama mpira yeye.
Shabiki za looserpuzi bhana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa macho na akili za kawaida unaweza kuona kama Fc Porto ni timu ya kawaida! Fc Porto ni moja ya timu kubwa na bora ulaya. Ki uwezo uwanjani wapo sawa na liverpool. Kwangu nategemea game ngumu na yenye ushindani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro, the main point of that post ni kuwa, we beat Porto last season at their own stadium in the round of 16, 5-0 and ended the entire tie there.

We had Karius/Lovren/Gini/Hendo/Milner in that team.

This season we’re much better kuliko tulivyokuwa last season, na tie inaanzia Anfield. So sidhani kama tunahitaji kujipa pressure yeyote ile.

Porto might be a big club in Portugal, but not in anyway comparable to LFC.

Just enjoy the draw brother. Nothing to worry.
 
Back
Top Bottom