Mzigo full huo apo
IMG_0270.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool football club are not the most feared club in Europe.

If we’re being real.

Lets stop overhype ourselves and pray for a good draw.
Man we are not overhyping ourselves everyone is scared of us...
Kuna a certain clip i had it last year during QF between us versus man city ungemuona jinsi Guardiola anavofkria a way kumstop salah, firmino na Oxlade you wouldnt be saying this rn
 
Wanaotaka kumtukana Klopp na wachezaji najua wameumia sana na draw hii!
Liverpoool feki hadi mimacho itawavimba mwaka huu!
Liverpoool HALISI hapa tuzidi shikamana tuwaache hao wanao ombea hadi wachezaji wetu waumie,
Feki Liverpoool hawana hamu tena


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kitu sijawahi kuelewa hapa ni nini maana ya "Liverpool halisi" na hao ambao sio halisi ni wapi?

Nakumbuka kuna siku niliwahi kuandika kuea tukubali kutokubaliana. In the end ni opinions tu ambazo hata hivyo haziwezi kumbadilisha kocha au mchezaji.

We just talk football, we are different. Tuna macho tofauti ya ku observe mambo na upeo wa kufikiria pia tunatofautiana. Tukikubali haya wala hakuna haja ya kuendeleza hay mambo.

In the end Liverpool FC is a family. We are all family. We should stand together no matter what. Tukigawanyika sisi kwa sisi na wapinzani nao watuvuruge sidhani kama ni kitu healthy.

YNWA

Watu na kagenge kake uchwara wanao SUPPORT na KUSHANGILIA kuumia kwa wachezaji wa Liverpool wewe unawaweka ktk kundi gani watu wa hovyo kama hao?
Hao ni Liverpool FEKI


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom