natamani kusikia wadau (hususani akina siye tunaomponda Klopp:( kwenye team selections na tactics zake) mnasemaje kuhusu huu ubuyu wa BBC kuwa Klopp anaweza kuondoka LFC na kwenda Bayern?
mimi naona itakuwa blow kubwa sana - je wewe unasemaje? Au tumrejeshe Brendan Rodgers :oops:?

kazi kwenu wadau...:cool::cool:

View attachment 1045493
20190315_073304.jpg
20190315_073244.jpg
 
Wana Liverpool HALIS
Bado masaa matatu tu tujue tunacheza na nani robo final
Tafadhali tujazane kwenye page yetu kupashana habari hasa kumchambua mpinzani wetu!
Wana Liverpool HALISI waacheni hawa wanao tukana team na waxhezaji waendelee kufanya hivyo sisi tuzidi shikamana!
Klopp anatupa raha sana,kila mwaka tunazidi imarika
Wana Liverpool HALISI umoja wetu ndiyo nguvu ya kuwashinda hawa vibaraka watukana wachezaji!
 
Liverpool's Klopp:
From LAUGHABLE STOCK up to the MOST FEARED TEAM IN EUROPE
Lkn hawa wavimba macho hawayaoni haya
Germany wamepata sana aibu,walijua tunatoka!
Sisi Liverpool HALISI tuna Mungu,wao wana shetani
Tukutane saa 7 mchana kwa saa za TZ kwa draw tujue tunacheza na nani
 
Wana Liverpool HALIS
Bado masaa matatu tu tujue tunacheza na nani robo final
Tafadhali tujazane kwenye page yetu kupashana habari hasa kumchambua mpinzani wetu!
Wana Liverpool HALISI waacheni hawa wanao tukana team na waxhezaji waendelee kufanya hivyo sisi tuzidi shikamana!
Klopp anatupa raha sana,kila mwaka tunazidi imarika
Wana Liverpool HALISI umoja wetu ndiyo nguvu ya kuwashinda hawa vibaraka watukana wachezaji!
Kitu sijawahi kuelewa hapa ni nini maana ya "Liverpool halisi" na hao ambao sio halisi ni wapi?

Nakumbuka kuna siku niliwahi kuandika kuea tukubali kutokubaliana. In the end ni opinions tu ambazo hata hivyo haziwezi kumbadilisha kocha au mchezaji.

We just talk football, we are different. Tuna macho tofauti ya ku observe mambo na upeo wa kufikiria pia tunatofautiana. Tukikubali haya wala hakuna haja ya kuendeleza hay mambo.

In the end Liverpool FC is a family. We are all family. We should stand together no matter what. Tukigawanyika sisi kwa sisi na wapinzani nao watuvuruge sidhani kama ni kitu healthy.

YNWA
 
Yhank you..the mot important is nini maana ya huko kunakoitwa "kushikamana"...Je ni kukaa hapa na kusifia kila kitu tu kama majuha au ni kutokuwa na maoni tofauti na hao wanaojiita " halisi"..sielewi but nafikiri ni kutompa attention mtu anayetaka kutugawa humu...apuuziwe ni mjinga tu...
 
this one is for those who seem to forget that it's Klopp who has propelled LFC to being one of the most (if not the most) feared sides in Europe at present - since over a decade ago.

Liverpool football club are not the most feared club in Europe.

If we’re being real.

Lets stop overhype ourselves and pray for a good draw.
 
Kitu sijawahi kuelewa hapa ni nini maana ya "Liverpool halisi" na hao ambao sio halisi ni wapi?

Nakumbuka kuna siku niliwahi kuandika kuea tukubali kutokubaliana. In the end ni opinions tu ambazo hata hivyo haziwezi kumbadilisha kocha au mchezaji.

We just talk football, we are different. Tuna macho tofauti ya ku observe mambo na upeo wa kufikiria pia tunatofautiana. Tukikubali haya wala hakuna haja ya kuendeleza hay mambo.

In the end Liverpool FC is a family. We are all family. We should stand together no matter what. Tukigawanyika sisi kwa sisi na wapinzani nao watuvuruge sidhani kama ni kitu healthy.

YNWA

Lol

Nini tena my man?

Hii essay umeandika kwa hisia sana hahahha

I’ve put the guy uliye-mquote in my ignore list, so i dont see his posts.

You must be so annoyed mpaka ukaandika hii essay.

Here is my advice, jamaa anafikiria anachofanya ni right thing to do for his club, so na wewe fanya unachodhani ni right thing to do for your Club. Its that simple.
 
Ikitokea kwa bahati Liverpool ikichukua kombe lolote this season, lazima jamaa ajitokeze hapa aseme yeye Liverpool halisi ndo amesupport team hadi kutwaa ubingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool football club are not the most feared club in Europe.

If we’re being real.

Lets stop overhype ourselves and pray for a good draw.
kwa hili tutabishana until the cows come home my friend.

everyone is scared facing us - you have to live with this fact, Mr!
 
man!
my top players so far
1)keita
2)fabinho
3)VVD
4)mane
5)firminho

my worst so far
1)Henderson
2)moreno
3)sturridge
4)karius(still is
Worst player wanawekwa na Klopp huyo ndo wakuchukiwa namba 1

Nahisi anapangiwa sio bure
 
Back
Top Bottom