Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,103
JK tokea aingie Liverpool kawapiga Ban wachezaji wasiiguse "THIS IS ANFIELD" mpaka watakapowin trophy
JK tokea aingie Liverpool kawapiga Ban wachezaji wasiiguse "THIS IS ANFIELD" mpaka watakapowin trophy
Hahahahahaha, limetia nuksi sijui, itabidi kuondoa hiyo nuksi kwa maji ya bahariLakini juzi kulikuwa na taarifa li Hendo limeigusa hiyo sign mwez uliopita mara 2.
natamani kusikia wadau (hususani akina siye tunaomponda Klopp kwenye team selections na tactics zake) mnasemaje kuhusu huu ubuyu wa BBC kuwa Klopp anaweza kuondoka LFC na kwenda Bayern?
mimi naona itakuwa blow kubwa sana - je wewe unasemaje? Au tumrejeshe Brendan Rodgers ?
kazi kwenu wadau...
View attachment 1045493
this one is for those who seem to forget that it's Klopp who has propelled LFC to being one of the most (if not the most) feared sides in Europe at present - since over a decade ago.
Kitu sijawahi kuelewa hapa ni nini maana ya "Liverpool halisi" na hao ambao sio halisi ni wapi?Wana Liverpool HALIS
Bado masaa matatu tu tujue tunacheza na nani robo final
Tafadhali tujazane kwenye page yetu kupashana habari hasa kumchambua mpinzani wetu!
Wana Liverpool HALISI waacheni hawa wanao tukana team na waxhezaji waendelee kufanya hivyo sisi tuzidi shikamana!
Klopp anatupa raha sana,kila mwaka tunazidi imarika
Wana Liverpool HALISI umoja wetu ndiyo nguvu ya kuwashinda hawa vibaraka watukana wachezaji!
Yhank you..the mot important is nini maana ya huko kunakoitwa "kushikamana"...Je ni kukaa hapa na kusifia kila kitu tu kama majuha au ni kutokuwa na maoni tofauti na hao wanaojiita " halisi"..sielewi but nafikiri ni kutompa attention mtu anayetaka kutugawa humu...apuuziwe ni mjinga tu...Kitu sijawahi kuelewa hapa ni nini maana ya "Liverpool halisi" na hao ambao sio halisi ni wapi?
Nakumbuka kuna siku niliwahi kuandika kuea tukubali kutokubaliana. In the end ni opinions tu ambazo hata hivyo haziwezi kumbadilisha kocha au mchezaji.
We just talk football, we are different. Tuna macho tofauti ya ku observe mambo na upeo wa kufikiria pia tunatofautiana. Tukikubali haya wala hakuna haja ya kuendeleza hay mambo.
In the end Liverpool FC is a family. We are all family. We should stand together no matter what. Tukigawanyika sisi kwa sisi na wapinzani nao watuvuruge sidhani kama ni kitu healthy.
YNWA
this one is for those who seem to forget that it's Klopp who has propelled LFC to being one of the most (if not the most) feared sides in Europe at present - since over a decade ago.
Kitu sijawahi kuelewa hapa ni nini maana ya "Liverpool halisi" na hao ambao sio halisi ni wapi?
Nakumbuka kuna siku niliwahi kuandika kuea tukubali kutokubaliana. In the end ni opinions tu ambazo hata hivyo haziwezi kumbadilisha kocha au mchezaji.
We just talk football, we are different. Tuna macho tofauti ya ku observe mambo na upeo wa kufikiria pia tunatofautiana. Tukikubali haya wala hakuna haja ya kuendeleza hay mambo.
In the end Liverpool FC is a family. We are all family. We should stand together no matter what. Tukigawanyika sisi kwa sisi na wapinzani nao watuvuruge sidhani kama ni kitu healthy.
YNWA
Some people can not just draw the line between love and reality...because they love a thing.. then that thing is flawless..Liverpool football club are not the most feared club in Europe.
If we’re being real.
Lets stop overhype ourselves and pray for a good draw.
Some people can not just draw the line between love and reality...because they love a thing.. then that thing is flawless..
Ikitokea kwa bahati Liverpool ikichukua kombe lolote this season, lazima jamaa ajitokeze hapa aseme yeye Liverpool halisi ndo amesupport team hadi kutwaa ubingwaLol
Nini tena my man?
Hii essay umeandika kwa hisia sana hahahha
I’ve put the guy uliye-mquote in my ignore list, so i dont see his posts.
You must be so annoyed mpaka ukaandika hii essay.
Here is my advice, jamaa anafikiria anachofanya ni right thing to do for his club, so na wewe fanya unachodhani ni right thing to do for your Club. Its that simple.
kwa hili tutabishana until the cows come home my friend.Liverpool football club are not the most feared club in Europe.
If we’re being real.
Lets stop overhype ourselves and pray for a good draw.
Worst player wanawekwa na Klopp huyo ndo wakuchukiwa namba 1man!
my top players so far
1)keita
2)fabinho
3)VVD
4)mane
5)firminho
my worst so far
1)Henderson
2)moreno
3)sturridge
4)karius(still is