Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 13,546
- 28,490
bila shaka rekodi yangu OT miaka ya hivi karibuni si poa kivile, hata hivyo ni uhakika kabisa kupata ushindi hapo Theatre of Nightmare ...Tatizo ni pale unapojipa matumaini hewa ya kushinda away katika big mechi.wakati msimu huu Liverpool katika mechi za top six sijajua kama mumeshinda mechi za away. Maana kwa kumbukumbu zangu ni
Man CTY away (lose)
Chelsea away (draw)
Arsenal away (draw)
Sasa sijajua hayo matumaini unayapata wapi
Hapa chini ni trend ya matokeo yenu mukiwa OT katika miaka ya karibuni. Na siyo kipindi cha Ferguson!View attachment 1020630
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana na PSG leo na Jtatu mpige Chelsi aafu ndio unawaze mie...
Kwa umuhimu wa pointi 3 sitegemei matokea zaidi ya kuodoka na ushindi..
All the best kwa PSG.