Manure anapigwa vizuri tu pale OT, tena na hivi Liver hatutakiwi kudrop tena point hata moja, ngoja siku hyo ataona mziki ulivyo.

Hahaha embu nikumbusheni mara ya mwisho liver kushinda ot ni lini??
Liver anapaogopa ot kama mfia dini anavyomwogopa shetani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom