Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,444
- 27,094
Wananiogopesha msimu huu maana hawaongelewi kabisa lakini wanafukuza kimya kimya 60 pts si mchezo
Tatizo la Spurs ni pale wanapokutana na timu kubwa.
Top 6 unacheza na Timu Tano Mara 2 ambzo ni sawa na points 30.
Sasa Ukipoteza hapo manake wewe ugombanie Top 4.