Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,104
Kwa Jinsi Fabinho anavyoendelea Kustruggle Kwenye Mfumo Wa Klopp! Ni wazi Kuwa Midfielders Watacheza Gini-Hendo-Keita na Fabinho atasubiri Mpaka Akaesawa na Mfumo.
Naona wachambuzi uchwara wa bongo wa ile radio mawingu wanawapa nafasi Liverpool na man u kuwania ubingwa wa ligi.
Halafu kila mwaka huwa hivyo hivyo lakini mambo hubadilika kabisa.
Chelsea, man city, Tottenham.. dah hawa wachambuz wamefanya ligi kuwa nyepes sana.
Ila Chelsea huwa tunawa prove wrong.
Tuko pamoja wakuu ..atakayecheza vizuri ndiye atakaye shinda, sio kusema timu A na timu B ndo znawania ubingwa ..kumbuka ligi ina timu ishirini, na ni ligi ya England sio Hispania au France.
Kwa Jinsi Fabinho anavyoendelea Kustruggle Kwenye Mfumo Wa Klopp! Ni wazi Kuwa Midfielders Watacheza Gini-Hendo-Keita na Fabinho atasubiri Mpaka Akaesawa na Mfumo.
Joe Gomez ameshapata injury, Kwahiyo ataungana na Matip pamoja na Klavan.
Kwasasa Mabeki Waliobakia Kwa Mchezo wa J'2 Ni 2 tu, VVD na Nathaniel Phillips.
Akiumia mmoja tu Kati ya Hao basi We are dead.
Karibuni Wale Wanaosema Tunajifanya Wajuaji Kutaka Klopp asajili Beki mpya nadhani Watatuelewa.
Mimi nadhani cha msingi kabisa na kiroho safi ili kuisaidia team Naomba peleka haya maoni yako moja kwa moja kwa Klopp kupitia email yake ambayo ni jurgenklopp@lfc.co.uk
Sisi wengine humu hata tukisema Sawa asajili hawezi kutusikia
Kwa maneno machache ni kwamba sisi mashabiki hasa tuliopo hapa Bongo hatuna madhara yeyote kwenye team zaidi ya kupiga porojo tu humu!
Siamini kama kuna siku tumewahi kupiga kelele hapa JamiiForums na LFC ikatusikiliza na kufanya tunachokitaka
Klopp amepewa kazi,amepewa fungu la usajili na hali ya team anaiona kila siku pale Melwood,akiona ana haja ya kusajili beki atasajili na akiona alionao watamsaidia kutumiza malengo ya team tumtakie kila la heri
Weeh ...weeh !Ubingwa Wa EPL hauwaniwi! Bingwa Yupo wazi Kuwa Ni Manchester City...
Timu zote zilizobakia Tunawania Nafsi Ya 2, 3 na 4 ili tushiriki Champion League tu.
Your Comment has nothing to do with what I believe! I'm sorry bro.
Ni bora ungejikita Kutoa Mawazo Yako Mwenyewe Kuliko Kujikita Kukosoa Mawazo ya Wengine....
Hii Ni Forum Huru bro Kila Mtu Yupo Huru Kujadili Kile anachopenda Bila Ya Kukiuka Sheria za Nchi..
So, usiblock Uhuru Wangu Mkuu...
Jikite Kuwaza Ya Kwako na Sio Kumock Ya Kwangu...
Humu Kila Mtu anaeleza Kile anachohisi Amekiona au Kuliamini! Kwanini Kueleza Ninachokiona au Kukiamini iwe tatizo Kwako!
Do me a Favour bro! Do not Quote me.
Gomez awekwa nje juzi kama precaution tu asije umia wakatu matip yuko benchi na lovren hana match fitness. But na uhakika ataanza j2.
Hata angesajili beki mwingine.majeruhi hayana taarifa. Timu iko poa sioni nani atutishe. Na tuna ratiba nzuri sana ya kuwa mbele ya wenzetu mapema.