Kwa Jinsi Fabinho anavyoendelea Kustruggle Kwenye Mfumo Wa Klopp! Ni wazi Kuwa Midfielders Watacheza Gini-Hendo-Keita na Fabinho atasubiri Mpaka Akaesawa na Mfumo.
 
Naona wachambuzi uchwara wa bongo wa ile radio mawingu wanawapa nafasi Liverpool na man u kuwania ubingwa wa ligi.

Halafu kila mwaka huwa hivyo hivyo lakini mambo hubadilika kabisa.

Chelsea, man city, Tottenham.. dah hawa wachambuz wamefanya ligi kuwa nyepes sana.

Ila Chelsea huwa tunawa prove wrong.

Tuko pamoja wakuu ..atakayecheza vizuri ndiye atakaye shinda, sio kusema timu A na timu B ndo znawania ubingwa ..kumbuka ligi ina timu ishirini, na ni ligi ya England sio Hispania au France.

Ubingwa Wa EPL hauwaniwi! Bingwa Yupo wazi Kuwa Ni Manchester City...

Timu zote zilizobakia Tunawania Nafsi Ya 2, 3 na 4 ili tushiriki Champion League tu.
 
Joe Gomez ameshapata injury, Kwahiyo ataungana na Matip pamoja na Klavan.
Kwasasa Mabeki Waliobakia Kwa Mchezo wa J'2 Ni 2 tu, VVD na Nathaniel Phillips.
Akiumia mmoja tu Kati ya Hao basi We are dead.

Karibuni Wale Wanaosema Tunajifanya Wajuaji Kutaka Klopp asajili Beki mpya nadhani Watatuelewa.
 
Mimi nadhani cha msingi kabisa na kiroho safi ili kuisaidia team Naomba peleka haya maoni yako moja kwa moja kwa Klopp kupitia email yake ambayo ni jurgenklopp@lfc.co.uk

Sisi wengine humu hata tukisema Sawa asajili hawezi kutusikia

Kwa maneno machache ni kwamba sisi mashabiki hasa tuliopo hapa Bongo hatuna madhara yeyote kwenye team zaidi ya kupiga porojo tu humu!

Siamini kama kuna siku tumewahi kupiga kelele hapa JamiiForums na LFC ikatusikiliza na kufanya tunachokitaka

Klopp amepewa kazi,amepewa fungu la usajili na hali ya team anaiona kila siku pale Melwood,akiona ana haja ya kusajili beki atasajili na akiona alionao watamsaidia kutumiza malengo ya team tumtakie kila la heri
 
Your Comment has nothing to do with what I believe! I'm sorry bro.
Ni bora ungejikita Kutoa Mawazo Yako Mwenyewe Kuliko Kujikita Kukosoa Mawazo ya Wengine....
Hii Ni Forum Huru bro Kila Mtu Yupo Huru Kujadili Kile anachopenda Bila Ya Kukiuka Sheria za Nchi..
So, usiblock Uhuru Wangu Mkuu...
Jikite Kuwaza Ya Kwako na Sio Kumock Ya Kwangu...
Humu Kila Mtu anaeleza Kile anachohisi Amekiona au Kuliamini! Kwanini Kueleza Ninachokiona au Kukiamini iwe tatizo Kwako!

Do me a Favour bro! Do not Quote me.
 
Chelsea bhana! Eti Wanamtaka Fekir :D:D:D
Itakuwa Ni bora Wakimnunua Angalau Nipumzike Hizi Kelele za Fekir kila ninapoamka Kwakweli Nimeshazichoka Kelele za Kumlilia Fekir
 
Ubingwa Wa EPL hauwaniwi! Bingwa Yupo wazi Kuwa Ni Manchester City...

Timu zote zilizobakia Tunawania Nafsi Ya 2, 3 na 4 ili tushiriki Champion League tu.
Weeh ...weeh !
IMG-20180625-WA0023.jpg
 
Your Comment has nothing to do with what I believe! I'm sorry bro.
Ni bora ungejikita Kutoa Mawazo Yako Mwenyewe Kuliko Kujikita Kukosoa Mawazo ya Wengine....
Hii Ni Forum Huru bro Kila Mtu Yupo Huru Kujadili Kile anachopenda Bila Ya Kukiuka Sheria za Nchi..
So, usiblock Uhuru Wangu Mkuu...
Jikite Kuwaza Ya Kwako na Sio Kumock Ya Kwangu...
Humu Kila Mtu anaeleza Kile anachohisi Amekiona au Kuliamini! Kwanini Kueleza Ninachokiona au Kukiamini iwe tatizo Kwako!

Do me a Favour bro! Do not Quote me.

I’ll never quote your post anymore,hope this quote will be the last,I promise
 
Huu Uchambuzi upo vizuri Sana: Credit kwa Goal.com

How Liverpool could line up

Liverpool's line-up has been easier to predict than some other sides' over the last 12 months, but there remain questions to be answered in the opening weeks of the season.

You can write in at least eight guaranteed starters; Alisson in goal, Van Dijk, Lovren and Robertson at the back, Keita in midfield and that dazzling, dynamite front three.

Which leaves Alexander-Arnold vs Clyne vs Gomez at right back - Alexander-Arnold is surely the man in possession there - and the mish-mash in midfield. Fabinho will be a starter in the long-term, but Klopp has hinted he may require time to get used to English football. Don't be surprised if Henderson starts the season, or if the two are used together to give a more powerful look.

How much we see of the others - Milner, Lallana, Wijnaldum, Shaqiri, Sturridge - will depend on how fortunate the Reds get with injuries. At least this season, more so than last, they should be equipped to cope when problems reach them.
 
Gomez awekwa nje juzi kama precaution tu asije umia wakatu matip yuko benchi na lovren hana match fitness. But na uhakika ataanza j2.
Hata angesajili beki mwingine.majeruhi hayana taarifa. Timu iko poa sioni nani atutishe. Na tuna ratiba nzuri sana ya kuwa mbele ya wenzetu mapema.
 
Welldone Mkuu umeeleza Vizuri...
Lakini problem Ni Kuwa Gomez na Matip Hawa uzima wao Hauna dhamana Kwani Ni Injury Prone hawa. Ukipitia Rekodi ya Gomez utakutia Mwaka Wake Wa Kwanza tu Kupandishwa Timu Kubwa Basi alikaa injury ya Muda Mrefu msimu mzima.

Na Msimu uliopita kama ulivyoona hakucheza Mara kwa Mara lakini Hizo Mara chache alizocheza basi injury Ni nyingi Zaidi Kuliko Uzima.

Matip yeye Hatimizi mechi 4 mfululizo anaumia.

Sasa Hapa swala si Kuwa injury inapokuja haileti taarifa!! Point Ni Kwamba Tunakuwa Tuna uhakika Kuwa Lallana, Strridge, Ings, Clyne, Matip na Gomez baada ya Kila Michezo 3 au 4 wanakaa juu wiki 4.

Kwa Upande Wa Centre Beki walio na Guarantee ya Kuwa Fiti Ni VVD na Lovren tu! Iwapo hawa Wawili watamaliza Msimu bila ya injury basi Nakuhakikishia Tutaandika Historia mpya na Kila Mtu atafurahi.

Mkuu Backup ya VVD na Lovren Ni Muhimu sana.
 
Ningependa Sana Kama Nathaniel Phillips atapewa nafasi Japo Kwenye Carabao na FA amapte experience ili aje awe Mrithi halali Wa Jimmy Carragher kama VVD ashavyokuwa mrithi halali Wa Sammy Hypia.
Kwani N. Phillips Ni Very Talented na Ana Kila Sifa Ya Kuwa Centre Half.
 
Yani Huwa Sipendi Kuattack Timu au Kocha Wa Timu nyengine lakini Ninamshangaa Sana Huyu Mourinho! Frustrations Zake Za Kukosa Pesa Za Usajili Zinamchanganya Kiasi Ya Kwamba Kila Siku Yeye Anaweweseka Kuisemea Liverpool wakati Maswali anayoulizwa Ni kuwa aijibie Timu Yake.
 
√ John Achterberg
√ Mike Gordon
√ Michael Edwards
√ Jürgen Klopp

At Near Future Hawa Ndiyo Watakaotupeleka Katika New Era ya Liverpool! Just we need One or Two Windows tu Kuweza Kufikia Malengo.
Naziona Zama Za Furaha Zinakuja.
 
:D:D:D

“Is Fabinho the reason everybody thought Bakayako was a good player?

Julien Laurens: Certainly. "He is a player who makes the others around him look better than they actually are. That's how good he is.”
 
Kwa wale wasio jua mpira wanasema liver pool atachukkua ubingwa wa ligi luu uingereza.

Je kuna ukweli wowote juu ya hili?
 
Tumekuwa na usajili mzuri sana
Fekir hakuja sababu ali fail medical nafasi yake akaja Shaqiri
Ings kaenda Soton
Nimefurahi Nathan Philips na Jones Curtis na Camacho kubaki
Pia nimefurahi Dan kufufuka lkn ama Origi au Solanke lzm mmoja aondoke na napendeza Solanke auzwe
Tujiandae kula,tupo vyema msimu huu
 
Hapa imependeza! Tumefanya Biashara Nzuri Sana.

Wachezaji tuliowatoa Kwa Permanent deal:
Danny Ward
Jon Flanagan
Jordan Williams
Emre Can

Wachezaji Tuliosajili Kwa Permanent deal:
Keita
Fabinho
Alisson
Xhaqiri

Hivi Ndiyo Liverpool imavyotakiwa iwe!! Sio unauza Suarez Kwa Kununua Benteke.
 
Back
Top Bottom