Allison sio kipa mzur kama ulivyompamba hapo, Alison ni kipa wa kawaida, kwa tunaifatilia Seria A, Usitegemee Allison Aibebe timu kama kina Neur, degea sahau hilo, narudia ni kipa wa kawaida,

Walidaka pamoja na Wojciech wa Arsenal pale roma ,huyu Allison alikalishwa bench misimu miwil mfululizo ,alikuwa anapata nafas Italian cup bado uwezo mdogo , mpaka Juve walipomnunua Wojciech , ndipo roma wakatafuta kipa wakakosa, wakaona wampe allison namba 1 , cha ajabu kwenye seria A wakamaliza namba 3-4 ,

Huyu Allison hata timu ya taifa Hajafanya lolote la maana kama kina Tibaut cortouis , pickford, Ochoa , na ndio maana Timu yao haikufika mbali,

Roma toka walipomuuza salah wanaamin sasa ni muda wa kupiga hela tu,

Becker ni kipa mzuri sawa na kina Butland tu, Hizi kelele za kuwa overate huwa zinatokea mara nying tu na anayejichanganya huwa anapigwa, ishatokea kwa man u dili la pogba , Hii michezo hufanywa na Mino Raiola, alitaka kufanya hivo kwa Gigi donaruma wakati ni kipa mzembe tu, vilabu vilishtuka na dili likafa mpaka sasa hatusikii kelele, sasa hiv Naona upepo umehamia kwa Becker.

Umemzungumzia VVD, hivi ni nan aliyekuwa hamjui VVD ?

Huyu kila mwanamichezo aliuona uwezo wake, ndio maana Arsenal, chelsea, Liverpool, man city Walimuhitaji.

Tena kumbuka hakuwa anatoka nje ya epl, ni hapo hapo EPL.Ndio maana haikuwa ajabu liver kutoa £75m
Uwe na akiba ya maneno usiongee yote ukajashindwa kurudi hapa.
 
Claiming to be a big fan of Serie A and yet you have the audacity to call Allison becker "average".

Anyway, ukiwa kama mshabiki mkubwa wa Serie A, you need to know kuwa Allison alitumia msimu mmoja tu kukaa bench nyuma ya Woj, na ndo ulikuwa msimu wake wa kwanza pale Roma, he joined msimu wa 2016/17 na msimu uliofatia wa 2017/18 (ulioisha may this year) alikuwa main starter, so it means Allison akiondoka Roma this summer atakuwa amespend only 2 seasons at Roma.

then, it should be widely known kuwa, Allison joined Roma akitokea league ya Brazil, it means aliingia europe akiwa na miaka 23, na wakati anafika Roma tayari walikuwa na Woj, keeper ambaye ametokea Arsenal na amedaka kwenye EPL na CL, sasa ukiwa kama Coach utamuanzisha moja kwa moja keeper aliyetokea kwenye league ya brazil au Keeper ambaye ameshaidakia moja ya club kuwa ya uingereza na ambaye ana experience kubwa ya EPL, CL na european football kwa ujumla?

Ter Stegen spent 2 seasons nyuma ya Bravo at Barca, mpaka alipopata nafasi ya kuwa first team keeper, Neuer breaking point kwenye career yake came when Frost got injured (at schalke 04), joined bayern when he was 24. then Van der sar pick years as a keeper came when he joined Utd mwaka 2005, he was 35 years old, same can be said for jens lehmann who joined Arsenal when he was 34, and now you want to downgrade a keeper who interests big clubs like Madrid, Chelsea and Liverpool akiwa na miaka 25 tu?, tena baada ya kuwa na msimu mmoja tu full at Roma.

Huwa nashindwa kumchukulia mtu yeyote serious ambaye anatumia internalional football (WC/Euros/Copa/Afcon) kurate players, mashindano ya mechi 7 tu, and kwa argument yako ni kuwa Pickford/Ochoa/Subasic etc are better than De gea and Manuel kwasababu tu they failed kufika hata robo fainali? and pia they're so much better than Oblak kwasababu hakufika hata WC?

and how can you compare Allison na GK kama Pickford ambaye ana worse stats than Karius kwenye msimu wa league uliopita? ni kwasababu alifika semi finals za WC? you cant be serious.

VVD? every jounals and rival fan laughed at us for paying 75m for VVD, hata some of our fellow LFC fans walikuwa na mashaka na hicho kiasi (we had a lot of discussions humu pia kuhusu hiyo price tag), hakuna mtu aliyeshtuka? we broke the record kuhusiana na fee ya CB and he was not Ramos/Godin/Hummels/Varane/Bonuci/Chielini etc he was just a "good" (Acc to medias and rival fans) from Southampton and not Madrid/Atletico/Bayern/Juventus.

You cant call a keeper with this stats average, for a club like LFC ambayo inatumia zaidi counters, this is a right keeper. last season alikuwa na better stats than the 2nd best keeper in the EPL kwa msimu uliopita, Ederson. na bado unamfanisha na Pickford/Butland. before commenting on a player ni lazima tujifunze kuwa na home scout abilities ili kujua weakness na strength za mchezaji husika. nilitegemea kuona technical weaknesses za Allison from your post but sijaona kitu kinachojustfy kuwa na discussion kuhusu Allison
Muwe na akiba ya maneno hizi mbwembwe zingine hatari kipa wa chelsea peter katoka bora kule kaenda arsenal hata kudaka penati hawezi.
 
Alison Ni Bora Kuliko Karius! Lakini Alison Mimi bado hajaniconvince kuwa Ni Kipa Mzuri.
Alison Ni Kipa Wa Kawaida tu Na Wala Hana Kiwango Cha Kusolve Matatizo Yetu.
Kaka hata Man City walimleta Bravo shinda zao hazikuisha so tuwe wavumilivu mapema mwezi ujao ligi inaanza na mpaka tunafika nusu wa msimu tutakua tumeona tumepata au tumekosa...YNWA
 
Allison and Fekir will win us trophies in the long run.

we're building a very strong team.
N one more defender and we are good to go...not sure of Gomez/ Matip/Lovren thier consistency for 100% perfomance til 2019 May is in check...
The gaffer has to watch that area with caution, VVD has made us better but still not to the level of winning the EPL new season....we need a unit to do so not single briliance
 
Sipati faida yeyote kiuchumi,sanasana ni burudani na furaha tu!

Hali kama hiyo huwa naipata pia pale Manchester United wanapofanya vibaya
Basi una matatizo kitu kisichoungana hata na sehemu ya mwili wako ukapate raha au huzuni ni maajabu

Toka mwaka 1992 hadi sasa mwili wako umejaa makovu na vidonda vya funza mara ya mwisho manchester united kushinda makombe ya hovyo 2016/17 liverpool 2009 carabao nafikir ubongo upo nusu kwa maumivu.
 
Sipati faida yeyote kiuchumi,sanasana ni burudani na furaha tu!

Hali kama hiyo huwa naipata pia pale Manchester United wanapofanya vibaya
Halafu mi kitu ambacho Mungu kanibaliki ni kuwa na roho ya upendo msimu uliopita nimefunga kula na kunywa walau mchukue kombe la epl muwe sawa na chelsea,man city,arsenal,blackburn na leicester city

Muingie ktk rekod za timu zilizobeba epl tangu mfumo ulipobadilika 1992 mkifa walau kuna kitu mmekiona lakin nyie mnamuwazia tajiri aanguke ili upate pesa zake fanya kazi bwana mdogo ili uwe na ww tajir dua la kuku haliwezi kumfanya dangote afilisike.
 
Welcome to the gang! I can imagine what it feels like. We at [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG] have said this for 27 years now. [HASHTAG]#ManUtd[/HASHTAG] fans had a good laugh at us. And now, for 5 yrs we seem to be in the same boat. Our 27 was aslo 5 once, you'll find out soon. [HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
27 ni sawa na 5 hahahhaha huu utani sasa ok tufanye tupo sawa sasa lini epl utabeba na wewe uingie kwenye rekod achana na makombe ya division 1 huko?
 
27 ni sawa na 5 hahahhaha huu utani sasa ok tufanye tupo sawa sasa lini epl utabeba na wewe uingie kwenye rekod achana na makombe ya division 1 huko?

Mkuu Unaweza Ukadhani Kama Utani Lakini Kumbuka Kuwa 27 ilianza na 1.
Nyinyi Tayari Mumeshahama Kwenye 1 mpaka Sasa Mumeshafika Kwenye 5 na Mara hii Munaingia 6.
Soon waweza jikuta unaingia 10,11,12 mpaka 27.
Hata Arsenal baada ya 2004 (Invincible), Miaka 5 ya mwanzo walidhani Ni Kipindi cha Mpito.
Sasahivi Tayari Wanaingia Mwaka Wa 15 yani (2019) na Tayari wameshagundua Kuwa sio Kipindi cha Mpito (Transitional Period) Bali Ni Hatima yao (Destination).

Kwahiyo na nyinyi wekeni Hakiba Ya Maneno Wewe Upo Kimara Mimi Nipo Mlandizi Lakini Sote Tunaelekea Chalinze.
 
Mkuu Unaweza Ukadhani Kama Utani Lakini Kumbuka Kuwa 27 ilianza na 1.
Nyinyi Tayari Mumeshahama Kwenye 1 mpaka Sasa Mumeshafika Kwenye 5 na Mara hii Munaingia 6.
Soon waweza jikuta unaingia 19,11,12 mpaka 27.
Hata Arsenal baada ya 2004 (Invincible), Miaka 5 ya mwanzo walidhani Ni Kipindi cha Mpito.
Sasahivi Tayari Wanaingia Mwaka Wa 15 yani (2819) na Tayari wameshagundua Kuwa sio Kipindi cha Mpito (Transitional Period) Bali Ni Hatima yao (Destination).

Kwahiyo na nyinyi wekeni Hakiba Ya Maneno Wewe Upo Kimara Mimi Nipo Mlandizi Lakini Sote Tunaelekea Chalinze.
Ok ngoja tuweke akiba ya maneno ushauri wako ni mzuri pia.
 
Katika Kipindi cha Roy Hodgson era Timu ya Liverpool First XI ilikuwa Ni hii:

Reina
G Johnson
Konchesky
Carra
Kyrgiakos/Skrtel
Gerrard
Cole
Maxi
Lucas
Torres
Ngog

Katika Kikosi Hicho Ni Wachezaji Wawili tu Gerrard na Torres Ndiyo wanaweza Kuanza Kwenye Kikosi Hichi Cha Sasahivi.

Ni Wazi Kuwa [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] kumpa [HASHTAG]#Klopp[/HASHTAG] Hela Za usajili basi Wameamua Kufanya Mabadiliko Makubwa tu! Nilikuwa nikiwachukia Sana Hawa [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] Lakini Kwa Sasa Sina Cha Kuwalaumu.

Kilichobakia Klopp Amlete Fekir au Mbadala Wake na CB mmoja Tuanze Kujihesabu Angalau Tuna Timu Ya Upinzani.
 
Danny Ward huyo kwenda em Fox for 10m£ in Klopp we trust...
I hope wataweka na buy back clause maana he is a promising young lad with lots of potential.
Hapa all the dead woods waodoke tubaki na quality players only na pengine kusajili
I expect Ings, Markovic, Sturidge, Moreno n.k waodoke to give us some needed cash ya kuleta quality players in all fronts
YNWA
 
Mara Nyingi Migno & Karius Wanapofanya Makosa Utasikia Wanapewa Second Chance! Lakini Kiukweli Danny Ward Ni Kipa ambaye ameoneshwa Exit door without ever being given a chance to prove himself Jambo ambalo Unaweza Kutia Huenda akaja Akaboreka Huko Lesta ikawa Ni Bargain Kwao Ni sisi tuka ended up ku-regret.
 
Back
Top Bottom